sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,918
Nadhani Ni vizuri zaidi kuanzia juu kuchambua zilizoshikana uelekee chini.Pia unapochana nywele zako tumia chanio kubwa, chana kuanzia chini kwenda juu watu wengi awachani nywele zao vzuri
Yy akilaza tu basi. Just nywele inakuwa kwaiyo inakuwa inajifunga chini
Kabla ujachana paka mafuta ya nywele usaidia kulainisha nywele
Then chukua kitana kidogo pitisha ili zinyoke vizuri
Kingine usipe kubana nywele zako mfano kidoti mara kwa mara usababisha nywele kuto pumua vizur
Baada ya hapo ndo uanze chini kuelekea juu..kuanzia chini kwenda juu moja kwa moja naona inakata nywele zaidi...