Utunzaji wa nywele za asili

Utunzaji wa nywele za asili

Je hina haizifanyi nywele kuwa nyekundu?
Mtu ukiona nywl zawa nyekund ujue hapendag mafuta uyo,mana nywl zinazopakwa mafuta kila siku hata ukitia hina nywl hazibadilik rang yke ya asil,kichwa kila siku kitiwe mafuta na umassage,mm hazijawah kubadilika,zabadilika kwa mbaliii,nkipaka mafuta tu zinarejea rang ya asil(black)
 
Mm natumia kila baada ya siku nne,tangu nianze nina mwaka sasa na hamna madhara yyt,inakaza miziz ya nywl zinakua madhbut hazitoki toki ovyo na zinakua na afya
Asante jamn yan nlikua na nywele ndefu ila naona znakatka sana skuiz mpaka watu wananiuliza kwanin nmenyoa nawaambia cjanyoa hawaelewi ntaenda kujaribu hii i hope nywele zang ztarud ntakupa mrejesho dear
 
Asante jamn yan nlikua na nywele ndefu ila naona znakatka sana skuiz mpaka watu wananiuliza kwanin nmenyoa nawaambia cjanyoa hawaelewi ntaenda kujaribu hii i hope nywele zang ztarud ntakupa mrejesho dear
Zitarudi tu kipenzi,unajua nywele ukizishuulikia zinakua na afya ,kichwa osha kila baada ya izo siku nne kila baada ya kupaka hina.
 
Hiyo hinna ya unga yapatikana wapi na hii kitu unaweza fanya hata kwa nywele ambazo hazijaanza kusukwa yani ile nywele bado hazijafikia kusuka inawezekana ku apply hii kitu au mpaka zikuekue?
 
Haya masteaming ya saloon yanaharibu nywele zetu ,jizoeshe kufanya ww mwenyew nyumban kwako steaming ya asili..

pia kuna kitu wanawake wengi hatukijui,kabla ya kutengeneza mambo ya nje ya miili yetu tujitengeneze ndani kwanza.
Pendelea sana kufanya mazoez,ilo ndilo moja wapo lilinisaidia mm kukuza nywele kwa haraka,kula healthy acha junky foods vinaharibu ukuaji wa nywele.
Usitumie mafuta ya mgando ktk nywele,tumia ya maji.

Jitahidi kuosha nywele mara kwa mara japo kwa wiki mara moja,usafi wa nywele ndio ukuaji bora wa nywele.

Kwa siku tunashauriwa kuchana nywele mara mbili,na kumassage kichwa mara moja kila siku wakat unachana nywele for abt 5 mins.
Hope itakusaidia ukifanya hayo
 
Pia unapochana nywele zako tumia chanio kubwa, chana kuanzia chini kwenda juu watu wengi awachani nywele zao vzuri
Yy akilaza tu basi. Just nywele inakuwa kwaiyo inakuwa inajifunga chini
Kabla ujachana paka mafuta ya nywele usaidia kulainisha nywele
Then chukua kitana kidogo pitisha ili zinyoke vizuri

Kingine usipe kubana nywele zako mfano kidoti mara kwa mara usababisha nywele kuto pumua vizur
 
Arabian queen

Mbona unajihangaisha sana kwa mayai na ghasia zote hizo? Aunt Zainab ana udongo wake wa ajabu sana, unapaka tu kichwani kama conditioner na matokeo yake kuanzia siku ya kwanza ni ajabu kabisa. Nywele zinaacha kukatika, nywele zinakuwa na nguvu na zinaota kwa kasi ya ajabu, hata kama ulikuwa na kipara cha madawa ya nywele zinarudi, jionee: Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Halafu hilo jimama la ki Tamim, jiarabu lenzako hilo.

Pia udongo wake kwenye ngozi ndiyo funga kazi. Kuliko liwa kuliko dawa yoyote ile ya ngozi.

I have to get this Asante FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom