MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kwangu ndo kama hapo nnavyoonekana kwenye avatar.Ndio kipilipili nadhani but surely napenda sana kufuga nywele regardless kua ni kipilipili au kihoho.
Sure napenda nywele ndefu na watu wengi wanashangaa but no way i like hairs for sure.If you take it in an awkward way no way besti bt huwa napenda nywele kama sio job ethics ningekua na dreadlocks.Kwa vile siwezi kuwa na dreads nika resort kufuga nywele.mwanaume unapenda kufuga nywele????????????aisee
Sure napenda nywele ndefu na watu wengi wanashangaa but no way i like hairs for sure.If you take it in an awkward way no way besti bt huwa napenda nywele kama sio job ethics ningekua na dreadlocks.Kwa vile siwezi kuwa na dreads nika resort kufuga nywele.
Mbona umenishangaa sana jamani?aisee !basi sawa !
Mbona umenishangaa sana jamani?
Nina kipilipili natural kisicho na dawa lkn zimerefuka nafanya kuzinyoosha na kusuka nikiziachia zinavutia sana situmii chochote
Duh pole lkn hongera kwa kukipatia mbadala changu ni kigumu Halafu zimejaa sana na nikizinyoosha nachana vizuri tu na nasuka vyovyote za kawaida au rasta, team natural oyeeeMaana ninakipilipili sio cha nchi hii ukichana mbele nyuma zimejirudi ukimaliza nyuma mbele zimevurugika nilijaribu kueka dawa zinakatika nikisuka rasta za aina yeyote baada ya mtindo labda ninyoe nianze upya maana zinazunguka kukatika mateso ya nini nimejiekea dread hapa aaaaaa nakula bata tuu
Kufuga nywele nilianza tangu nikiwa primary boarding no one who gives a damn kuhusu nywele hadi namaliza Pr na kuingia Sec schools kufuga nywele was just a part of life....utofauti niliuona Varsity watu walianza kunishangaa so nikawa nazo ndefu but sio saana....kuingia kazini ndo nikaona hadi maboss wanatoa mimacho...sijui nikinyoa kabisaa nitakuaje but i will keep on moving with that...ushauri nataka zikue zaidi bila ku apply harzadous chemicals.aisee !basi sawa !
Ntakutumia wewe tenapicha pls !mie nawatamania wenye nywele natural jaman uwiii !nina uhair mrefu ila una dawa nawazaga kukata ila mume hatak !
Hahahhaaaa....gotcha you!dah sijui kwanini nimekushangaa eti nimewaza mie nasimama kwa kioo nahangaika kuchana nywele zangu na kubana nawe unanisubiria uchane nywele zako? hehehehe hello no kwangu !mwanaume upara bwana we,inatia hamasa mnooooooo
Kufuga nywele nilianza tangu nikiwa primary boarding no one who gives a damn kuhusu nywele hadi namaliza Pr na kuingia Sec schools kufuga nywele was just a part of life....utofauti niliuona Varsity watu walianza kunishangaa so nikawa nazo ndefu but sio saana....kuingia kazini ndo nikaona hadi maboss wanatoa mimacho...sijui nikinyoa kabisaa nitakuaje but i will keep on moving with that...ushauri nataka zikue zaidi bila ku apply harzadous chemicals.
Ntakutumia wewe tena
Wikendi ntafumua nije nikudolishie km hazijakatika usinyoe ziache
Hahahaaa...you are funny!! Huko siezi kufika bhana...wife to be naona nae kashaanza ku mind kimtindo...ntabaki nazo kwa urefu huu huu ikibidi...But only IKIBIDI.iko siku huenda ukabana 'pony tail' kbs kwa mapenzi hayo !hongera
Zimejaa sana hata zikikatika huwezi kugunduahazikatikag mie !zina shukurani !nitumie nijilipue mie dec
Hahahaaa...you are funny!! Huko siezi kufika bhana...wife to be naona nae kashaanza ku mind kimtindo...ntabaki nazo kwa urefu huu huu ikibidi...But only IKIBIDI.
Zimejaa sana hata zikikatika huwezi kugundua
Una bahati jinsi zilivyondefu maana mwingine angabaki km USO wa lipumba, nilikuwa nazo ndefu kuzidi hata hizo zako mimba mimba mimba changa ikafanya nizinyonyoeohh namanisha zangu hazikatiki !huwa zina shukran !na ni defu ndo maana kila mtu anashangaa y nataka kukata !nataman mnooo rough dread jaman ila ndo thiwez