Umeweka dawa na bado ni ngumu kuchana? Labda ubadilishe stylist.
sijui mafuta ya nywele za dawa. nakushauri uzilock nywele zako ili uwe na natural hair. Zaidi ya kuziosha kila wiki, unalock na mafuta, na unakuwa na spray tu unatumia mara chache. Nywele hazikatiki, hazikauki, hazipati mba na utasahau hata bei ya kitana.
mafuta ya nazi( sio yaliyosindikwa)
thanks d,zinakuwaga laini baada ya kuretouch tu,zikianza kuota ni sheshe...mhh dreadlocks ,nikiwaza kukata hizi nianze moja kitakua lini kipilipili changu mweeh..
Tumia mafuta ya Vaida product ya Zimbabwe. Haya unapaka kwenye ngozi juu kwenye nywele pakaa mafuta ya
T - tree. Pia ningekushauri uzilock uwe na natural hair. Dawa za hair relaxer sio safe sana kwa long term use. Take it or leave it.
Umeweka dawa na bado ni ngumu kuchana? Labda ubadilishe stylist.
sijui mafuta ya nywele za dawa. nakushauri uzilock nywele zako ili uwe na natural hair. Zaidi ya kuziosha kila wiki, unalock na mafuta, na unakuwa na spray tu unatumia mara chache. Nywele hazikatiki, hazikauki, hazipati mba na utasahau hata bei ya kitana.
Karibu Oriflame kwa bidhaa bora za nywele, tuna mafuta ya kujaza na kurefusha nywele pia yenye ubora na yaliyodhibitishwa na wataalam wa uhakika..karibuWadau,
Nataka kuwa na nywele ndefu za mtindo wa Afro zenye mwonekano wa asili (natural). Ni mafuta gani nitumie yatakayorefusha nywele zangu ndan ya muda mfupi? Ntashukuru ukinitajia jina ili nikienda Duka la vipodozi au Pharmacy nifike tu na kutaja jina la nilichokifata.
Nataka jina la hayo mafutaKaribu Oriflame kwa bidhaa bora za nywele, tuna mafuta ya kujaza na kurefusha nywele pia yenye ubora na yaliyodhibitishwa na wataalam wa uhakika..karibu
Kuna Hair X,Advanced Hair X, Na HairX Restore Therapy....Nataka jina la hayo mafuta
Weka na bei zake tafadhali,mtwara yanapatikanaKuna Hair X,Advanced Hair X, Na HairX Restore Therapy....View attachment 398578View attachment 398579View attachment 398580
Mtwara kuna mawakala pia wa oriflame,me niko dar office zetu za morocco ukihitaj unatumiwa kwa basi ,karibu.Weka na bei zake tafadhali,mtwara yanapatikana
Hapana yanatumika na wanaume piamkuu ni kwa ajili ya wanawake tu.?
Hizo sio dawa za relaxer wanazopaka wadada ili nywele zilainike hizo ni shampoo na conditionaer ndugu yangunachoona hapo ni Hair Relaxers tu. mm nataka kurefusha nywele, sio kuzifanya za kihindi