NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
NUNUA LAVENDAR OIL NA CASTOR OIL CHANGANYA UPAKE TATIZO LITAKWISHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nywele zangu za asili,mwarabu,but hio mask inatumika kwa yyte yule na matokeo ni ayoayo,mm nlikua nina nywele mwisho chini ya maskio tu coz nlizikata,nlipoanza io mask na kumasage kichwa kila siku ,ndani ya mwaka tu asaiv zimefika chini ya makalio,so every months ilikua inaleta mabadilko makubwa.alaf ukianza kufanya io mask yani huwez kujiona kama zinakua ila waliokua pemben yako ndo wataona mana,inakuza na kujaza nywele kwa kasi,hina inasaidia kukaza mizizi ya nywele kukatikakatika(kung'oka)mayai yana protein yanasaidia ktk ukuzaji wa nywele .Nywele zako zina dawa au ni asili??
Kama ni asili je asili gani?
Muafrika, muhindi, muarabu
Ili tujue tunaanzia wap
Kiini cha yai kina sulphur ina stimulate(kusisimua)mizizi ya nywele na kuongeza ukuaji wa nywele.Mayai yanakazi gan kwenye nywele
Kariakoo, maduka yale karibu na sokoni.aya bna nitajaribu hiki kipilipili changu
huo unga wa hina naupata wapi?
Napenda sana nije nimuoe mwarabu.Nywele zangu za asili,mwarabu,but hio mask inatumika kwa yyte yule na matokeo ni ayoayo,mm nlikua nina nywele mwisho chini ya maskio tu coz nlizikata,nlipoanza io mask na kumasage kichwa kila siku ,ndani ya mwaka tu asaiv zimefika chini ya makalio,so every months ilikua inaleta mabadilko makubwa.alaf ukianza kufanya io mask yani huwez kujiona kama zinakua ila waliokua pemben yako ndo wataona mana,inakuza na kujaza nywele kwa kasi,hina inasaidia kukaza mizizi ya nywele kukatikakatika(kung'oka)mayai yana protein yanasaidia ktk ukuzaji wa nywele .
Hivi mnapesa za kuchezea? Nywele nyingi huongeza matumizi ya sabuni buaana eeh!!!Haya ninayoyaandika nimefanya mm na nkaona matokeo yake ndani ya mwezi tu....matumizi ya hinna ya unga na mayai..
Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai, iwe na paste nzito kiasi, upake ktk miziz ya nywele, ukimaliza kupaka nywele zifunike kwa mfuko maalum ili zipate joto kwa muda wa masaa mawil,
baada ya hapo zioshe kwa maji na shampoo, lkn maji yawe ya baridi yasiwe ya motooo au vuguvugu, yani yawe maji ya kawaida.
Baada ya kuziosha zikaushe kwa taulo
NB.. Nywele hazichanwi zikiwa na maji zimerowa kwani zitasababisha kung'oka kwa nywele na kusababisha upunguf wa nywele.
Nywele zikishakauka. paka mafuta ya nazi, au your favourate muhimu upake ktk mizizi ya kichwa .
Na wakati unapaka mafuta kichwan kichwa kiinamishe chini ,kiangalie chini ndio upake mafuta kichwa chako husaidia msukumo wa damu kufikia ktk kichwa vizuri na kupata stimulation kwa kutumia ncha za vidole huku ukifanya massage kichwa taratibu kwa mda wa dakika tano.ukimaliza anza kuzichana taratibuu mpk zilainike na uzibane.
NB.. Jaribu kwa siku uchane nywele mara mbili asbuh na jion, na nywele muda wote ziwe zenye mafuta. jizoeshe kufanyia massage kichwa chako kila wakat unaopaka mafuta kichwan.
Uhai wa nywele ni mafuta kama ilivo uhai wa binadamu utakuepo iwapo kuna maji.
kipimo buku tu,wanapima kwenye kikombe cha kahawa..karibuaya bna nitajaribu hiki kipilipili changu
huo unga wa hina naupata wapi?
aya nitakuja kuchukua na misk na shabu waarabu mna mambo nyie?kipimo buku tu,wanapima kwenye kikombe cha kahawa..karibu
utawaweza mila zao?Napenda sana nije nimuoe mwarabu.
Zipi izo? Natamani nimpate yule ambae atajitoa muhanga kuishi nami bila kujali vikwanzo kutoka kwa wazazi au ndugu.utawaweza mila zao?
kwanza ukubali kuishi ukweniZipi izo? Natamani nimpate yule ambae atajitoa muhanga kuishi nami bila kujali vikwanzo kutoka kwa wazazi au ndugu.
Mwarabu, msomali na Mhindi ndo ndoto zangu.
Nina hitaji nitampataje Aunt zainabu?
Zipi izo? Natamani nimpate yule ambae atajitoa muhanga kuishi nami bila kujali vikwanzo kutoka kwa wazazi au ndugu.
Mwarabu, msomali na Mhindi ndo ndoto zangu.