Ndelyaukiwa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 267
- 347
Tumia JBCO,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba maelezo mkuuTumia JBCO,
Ndugu kama una Instagram account follow account inatwa abeenaturals na nyingine inaitwa naturalhair_tanzania wanatoa tips nzuri sana za utunzaji wa nywele na kuzifanya ziwe ndefu zenye afya. lazma kwanza ujue nywele zako ni za aina gani ndo uweze kutafuta product ya kunywele itakayoendana na aina ya nywele yako mfano nywele laini, nywele ngumu , nywele ya kati etc. Hao abeenaturala wana blog yao pia wanatoa tips za utunzaji wa natural hair. Try themWadau,
Nataka kuwa na nywele ndefu za mtindo wa Afro zenye mwonekano wa asili (natural). Ni mafuta gani nitumie yatakayorefusha nywele zangu ndan ya muda mfupi? Ntashukuru ukinitajia jina ili nikienda Duka la vipodozi au Pharmacy nifike tu na kutaja jina la nilichokifata.
Penda kutumia steaming za asili.....
Paka mafuta yatayofanya nywele ziwe nzito...
Tafuta mafuta ya nyonyo yatakusaidia sana...
Pia pendelea kusuka nywele kwa muda mrefu ndio uretouch hakikisha nywele imeotea sana ndio uretouch.....
Kata nywele punguza gharama zisizo za lazima na upotezaji wa muda..!thanks d,zinakuwaga laini baada ya kuretouch tu,zikianza kuota ni sheshe...mhh dreadlocks ,nikiwaza kukata hizi nianze moja kitakua lini kipilipili changu mweeh..