Utunzaji wa nywele za asili

Utunzaji wa nywele za asili

Wadau,

Nataka kuwa na nywele ndefu za mtindo wa Afro zenye mwonekano wa asili (natural). Ni mafuta gani nitumie yatakayorefusha nywele zangu ndan ya muda mfupi? Ntashukuru ukinitajia jina ili nikienda Duka la vipodozi au Pharmacy nifike tu na kutaja jina la nilichokifata.
Ndugu kama una Instagram account follow account inatwa abeenaturals na nyingine inaitwa naturalhair_tanzania wanatoa tips nzuri sana za utunzaji wa nywele na kuzifanya ziwe ndefu zenye afya. lazma kwanza ujue nywele zako ni za aina gani ndo uweze kutafuta product ya kunywele itakayoendana na aina ya nywele yako mfano nywele laini, nywele ngumu , nywele ya kati etc. Hao abeenaturala wana blog yao pia wanatoa tips za utunzaji wa natural hair. Try them
 
Habarini zenu wana jamii,

Mimi ni msichana nasoma nipo chuo, tatizo langu ni kwamba, nywele zangu ni nyepesi sana, yaani laini, kwahiyo nikichana huwa zinakatika.

Jambo hili linanitesa sana, dawa ya nywele ninayotumia ni MEGA RELAX na steaming ya mayonise.

Naombeni ushauri wadau, pia niliwahi kushonea nilipofumua, nywele za mbele zilikatika, kwahiyo nywele zangu katikati ndefu mbele fupi na hizo ndefu nikichana zinakatika.

Ushauri jamani

Penda kutumia steaming za asili.....
Paka mafuta yatayofanya nywele ziwe nzito...
Tafuta mafuta ya nyonyo yatakusaidia sana...
Pia pendelea kusuka nywele kwa muda mrefu ndio uretouch hakikisha nywele imeotea sana ndio uretouch.....
 
Blood of Jesus
Hivi kuwa na nywele laini na ambazo zinapelekea kukatikakatika kila zinapochanwa (kama alivyoeleza mleta hoja) na ambayo pengine uathiri wengi katika jamii siyo moja ya matatizo yanayohitaji ufumbuzi? Au tatizo ni kwa vile hoja imeletwa na mwanachuo?

Pengine mkuu kama wewe ni mjuzi wa research hiyo ni fursa kwako kufanya utafiti juu ya matatizo ya nywele nyepesi kukatikakatika katika jamii yetu.
 
Uretouch baada ya miezi minne mpaka 6 kuweka dawa mara kwa mara nywele zinakuwa weak sana Mimi huwa naweka dawa mara mbili kwa mwaka siku nyingine ni steaming tu na kusuka.

Pia Unaweza kukata uanze upya kusuka halafu usiweke dawa
 
Penda kutumia steaming za asili.....
Paka mafuta yatayofanya nywele ziwe nzito...
Tafuta mafuta ya nyonyo yatakusaidia sana...
Pia pendelea kusuka nywele kwa muda mrefu ndio uretouch hakikisha nywele imeotea sana ndio uretouch.....
 
Fanya steaming kila wiki tumia leave in conditioner mfano kama profective mega growth leave in au shear butter leave in au african pride leave in
 
384283.jpg



swissme
 
Tafuta mafuta ya nyonyo au jina lingine castor oil uwe unapaka kwenye ngozi ya kichwa kila siku na kumassage kwa dakika 10 yanasaidia kustimulate mizizi ya nywele na kuzifanya zikue na kujaa. Lakini vile vile usisahau kusuka pamoja na kufanya steaming angalau kwa wiki mara moja. Hayo ni machache kuna mambo mengi inapokuja kwenye utunzaji wa wa vipilipili vyetu. Jaribu kupitia kwenye net pages za naturalists utajifunza mengi zaidi.
 
nimenyoa nywele nataka kupaka mafuta ya nazi ile ntaondoaje harufu yake msaada plse
 
thanks d,zinakuwaga laini baada ya kuretouch tu,zikianza kuota ni sheshe...mhh dreadlocks ,nikiwaza kukata hizi nianze moja kitakua lini kipilipili changu mweeh..
Kata nywele punguza gharama zisizo za lazima na upotezaji wa muda..!
 
Back
Top Bottom