Utunzaji wa nywele za asili

Utunzaji wa nywele za asili

asante sana ngoja nichanganye udongo na hii ya huyu mdau sijui hinna nione matokeo

Hahahaha

Jaribu utupe mrejesho.

Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
 
Hahahaha

Jaribu utupe mrejesho.

Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
inshalah kesho nazama kariakoo shimoni .napenda vitu natural sana .hizi cosmetic za mchina ovyo sana watu wanachanika tu ngozi.watanzania tu wajinga sana.Mungu katupa ngozi nzuri tunaziharibu
 
hinna si inabadili rangi ya nywele?
Hina ile fresh ya unga,mm natumia lkn naona haijanibadilisha,mra nyingi nywele zinabadilika pale ukimaliza kutia hinna,alaf ukaziacha nywele kavu,ndo hua zinabaki na rangi kwa mbali,ukipendelea mafuta ktk kichwa inakua mara chache sn
 
Back
Top Bottom