Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitegemei tena nywele zako kuwa kavu mkuuSawa mkuu
Na si tunaonyoa vipara ndo tukwende kabisaTeam natural mkuye kipande hii. Sie team weaves tunapita tu
Asanteni kwa ushuhuda... Wacha nami niijaribu niokoe nywele zanguHii streaming nzuri sana inajaza nywele na kuzipa afya
,mie ndo steaming yngu toka 2011!asante kwa maujanja
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuletea uzi wa viparaNa si tunaonyoa vipara ndo tukwende kabisa
Hahaha nasubiri[emoji23][emoji23][emoji23] nakuletea uzi wa vipara
Streaming au Steaming?
Mayai mangapi!?,na je kama unatumia mafuta ya nazi unaweka kiasi gani?,na kama huna steamer unafanyaje!?
Asanteni kwa ushuhuda... Wacha nami niijaribu niokoe nywele zangu