Utunzaji wa nywele zenye dawa

Utunzaji wa nywele zenye dawa

Mimi napaka dawa ya Movit, steaming Huwa sichagui, ila napaka mara nyingi steaming ya kitunguu swaumu, pia natumia conditional ya Movit ni nzuri inakuza nywele.

NB: Nina nywele ndefu [emoji1787]
 
Mimi napaka dawa ya Movit, steaming Huwa sichagui, ila napaka mara nyingi steaming ya kitunguu swaumu, pia natumia conditional ya Movit ni nzuri inakuza nywele.

NB: Nina nywele ndefu [emoji1787]
Movit nadhan inawafaa wnywe nywele ngumu,inauma na km unanywele lain naona haifai..na nywele zkiwa ndefu naona n vzur zaid
 
Tunapeana taarifa tu, hata mimi nilikuwa mtumiaji kwa muda mrefu sana (1983-2015!) lakini baadae nilichoka na kuamua kuacha kuweka relaxer. Shida ilikuja ukizoea kuweka relaxers unashindwa kuzihudumia nywele na unaona kama hazipendezi vile.

Nimeamua kuwa na nywele fupi za mchicha maisha yanaendelea.

nb: nawashauri wenye watoto wadogo wasiwawekee hizo relaxers jamani, labda mara moja kwa shughuli fulani halafu basi.
Kwa kweli hata kwenye shughuli ikiwezekana watt tuwasike tu, relaxer sio nzuri.
Mimi nimepata shida sana kwenye kuhudumia nywele za wtt wangu wa kike maana ni nyingi plus ndefu, sasa huwa natamani niwawekeshe relaxer ila nikikumbuka kazi ya kushughulia nywele zenye relaxer nasita kwanza......mbadala wake nawatumilia steaming na mafuta ya ku-moisturise pamoja na kuziblow, at least napata kuzimudu. Then naona kama dawa sio nzuri kwa vichwa vya wtt wadogo inaweza kuwaletea madhara
 
Uzi mzuri huu

Mie relaxer nayotumia ni Mega growth
Steaming natumia hair mayonnaise
Mafuta natumia ya olive

Dawa huwa naweka kwa mwaka mara nne...yaani kila baada ya miezi mitatu
Steaming naweka mara mbili tu kwa mwezi ama mara moja sometimes
Mimi natamani kuweka dawa aisee
Tena iyo mega naona wengi inawakubali upande mwingine wanasema nywele zangu nzuri nisiweke ila nimechoka nywele natural kuchana kazi
 
Mimi natamani kuweka dawa aisee
Tena iyo mega naona wengi inawakubali upande mwingine wanasema nywele zangu nzuri nisiweke ila nimechoka nywele natural kuchana kazi
Kwa kweli kuchana nywele natural ni mtihani...salute nyie mnaoweza kuvumilia maumivu wakati wa kuchana

Mimi natamani kurudi natural ila nisokote ziwe dread
Lakini nikiwaza kukata nywele zangu nianze upya moyo unastuka 😃

Mega ni nzuri mno,mama yangu ndiye aliyenifanya nianze kutumia
 
Aisee mtihani sana Tena mm zangu ni nyingi balaa Yani ukilala siku moja hujasuka ya pili kuchana mtihani
 
Aisee mtihani sana Tena mm zangu ni nyingi balaa Yani ukilala siku moja hujasuka ya pili kuchana mtihani

Kama ni nyingi na ngumu hapo moto lazima ukuwakie wakati wa kuchana
 
Back
Top Bottom