Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
pic plsTry Mielle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pic plsTry Mielle
na je kwa watot products nzuri ya nywee zais ya cantu ipo? mwanangu ana unywele ila mkavuTry Mielle
Eeh yani naona haiko deep very cmpleKwa hiyo hapo unakuwa ndo umesha steam ivo.? Hii mpya kwangu.
Movit nadhan inawafaa wnywe nywele ngumu,inauma na km unanywele lain naona haifai..na nywele zkiwa ndefu naona n vzur zaidMimi napaka dawa ya Movit, steaming Huwa sichagui, ila napaka mara nyingi steaming ya kitunguu swaumu, pia natumia conditional ya Movit ni nzuri inakuza nywele.
NB: Nina nywele ndefu [emoji1787]
Kwa kweli hata kwenye shughuli ikiwezekana watt tuwasike tu, relaxer sio nzuri.Tunapeana taarifa tu, hata mimi nilikuwa mtumiaji kwa muda mrefu sana (1983-2015!) lakini baadae nilichoka na kuamua kuacha kuweka relaxer. Shida ilikuja ukizoea kuweka relaxers unashindwa kuzihudumia nywele na unaona kama hazipendezi vile.
Nimeamua kuwa na nywele fupi za mchicha maisha yanaendelea.
nb: nawashauri wenye watoto wadogo wasiwawekee hizo relaxers jamani, labda mara moja kwa shughuli fulani halafu basi.
Mimi natamani kuweka dawa aiseeUzi mzuri huu
Mie relaxer nayotumia ni Mega growth
Steaming natumia hair mayonnaise
Mafuta natumia ya olive
Dawa huwa naweka kwa mwaka mara nne...yaani kila baada ya miezi mitatu
Steaming naweka mara mbili tu kwa mwezi ama mara moja sometimes
Kwa kweli kuchana nywele natural ni mtihani...salute nyie mnaoweza kuvumilia maumivu wakati wa kuchanaMimi natamani kuweka dawa aisee
Tena iyo mega naona wengi inawakubali upande mwingine wanasema nywele zangu nzuri nisiweke ila nimechoka nywele natural kuchana kazi
Aisee mtihani sana Tena mm zangu ni nyingi balaa Yani ukilala siku moja hujasuka ya pili kuchana mtihaniKwa kweli kuchana nywele natural ni mtihani...salute nyie mnaoweza kuvumilia maumivu wakati wa kuchana
Mimi natamani kurudi natural ila nisokote ziwe dread
Lakini nikiwaza kukata nywele zangu nianze upya moyo unastuka 😃
Mega ni nzuri mno,mama yangu ndiye aliyenifanya nianze kutumia
Aisee mtihani sana Tena mm zangu ni nyingi balaa Yani ukilala siku moja hujasuka ya pili kuchana mtihani