ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
Unaanzaje kumkashifu mwanaume ambaye tayari kaona utupu wako, hoooo wewe fala umenihonga zaidi ya milioni halafu mimi nimekupa mara moja tu, kabao kenyewe kamoja tu ka kichovu, je hiyo pesa ina thamani kuliko mwili wako?
Je, angekugonga mabao mia pesa yake ingerudi? Kama ulitoa nanii baada ya kupewa pesa je unanunuliwa?
Hata uhongwe milioni mia mwili wako unathamani kuliko chochote, ukiufunua tu kuwa mpole mheshimu sana uliyemfunulia vinginevyo unakuwa unajidhalilisha tu.