Utupu wako ndio utu wako, sio pesa

Utupu wako ndio utu wako, sio pesa

Simply, wanawake wanapenda pesa. Hata akikupenda hawezi kukwambia amefuata pesa, yaani pesa ni kiungo mzuri sana kabla ya yote. Pesa muhimu sana, inaleta heshima na kutatua changamoto kwokwote duniani.
Uko sahihi,Ila kujisifia amechuna nyingi ni kujidhalilisha
 
Mhn! ila mnajituma! sikumbuki kaka nishawahi kuhonga kiasi kikubwa kwa haya mambo!
 
Unaweza ukahonga buku wakati mfukoni una 30,000 mwingine akahonga milioni wakati mfukoni ana milioni sitini,hapo nani kahonga nyingi?
 
kwa hesabu inaweza kuonekana hivyo lakini kwa anayepokea huyu wa milioni kaongwa nyingi
 
inawezekana utupu una thamani kuliko pesa ila nnachokiona ni kwamba aliehongwa pesa atoe utupu hana stress za kuonwa utupu mwenye stress ni yule aliehonga millioni na bado akadharauliwa.

pengine hata wewe unajua ukweli kuwa pesa uliyopoteza ina thamani kuliko uchi wa kununua ndo mana moyo unakuuma.
 
Nikutafutie milioni moja basi, uko tayari?
 
asee kumbe hadi wanaume wenzako unanunuaga? We mchicha mwiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daa kweli kwako wewe pesa ina thamani kuliko utupu wako,staki laana hiyo nilikuwa nakujaribu tu
 
Kwa hiyo wakati wamfunua wewe ulivaa nguo zako?

Kama nyote mlikua uchi kwanini wahisi mwanamke ndie amedhalilika??

wewe mwili wako hauna thamani???
 
Daa kweli kwako wewe pesa ina thamani kuliko utupu wako,staki laana hiyo nilikuwa nakujaribu tu
Utupu wangu sio wa kununua so una thamani. Utupu wa kununua hauna thamani ndo mana ukimaliza unajutia hela zako unasema bora ungefanyia kitu cha maana kuliko kuhonga mil 1 halafu bado unadhalilishwa kuwa huna uwezo wa kupafom [emoji2]
 
Ukitaka kujua mwili wako hauna thamani,pata changamoto za kiafya zitakazokupelekea mara kwa mara kufunuliwa hospitali
 
Utupu wangu sio wa kununua so una thamani. Utupu wa kununua hauna thamani ndo mana ukimaliza unajutia hela zako unasema bora ungefanyia kitu cha maana kuliko kuhonga mil 1 halafu bado unadhalilishwa kuwa huna uwezo wa kupafom [emoji2]
Nenda kaperfom vizuri halafu kata ghafla mahusiano,utakuja kutuambia atakavyokusifia
 
Back
Top Bottom