ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
- Thread starter
-
- #21
Uko sahihi,Ila kujisifia amechuna nyingi ni kujidhalilishaSimply, wanawake wanapenda pesa. Hata akikupenda hawezi kukwambia amefuata pesa, yaani pesa ni kiungo mzuri sana kabla ya yote. Pesa muhimu sana, inaleta heshima na kutatua changamoto kwokwote duniani.
AsantePole sana kwa yaliyokupata.
Mademu baada ya breakup ni wepesi wa kuongea habari za uwongo ili iwe rahisi kwao kutengeneza mahusiano mapya.Huwajui vizuri wewe,unataka kuniambia wote wanaokashfiwa hawajui kusugua?
Unaweza ukahonga buku wakati mfukoni una 30,000 mwingine akahonga milioni wakati mfukoni ana milioni sitini,hapo nani kahonga nyingi?Mhn! ila mnajituma! sikumbuki kaka nishawahi kuhonga kiasi kikubwa kwa haya mambo!
kwa hesabu inaweza kuonekana hivyo lakini kwa anayepokea huyu wa milioni kaongwa nyingiUnaweza ukahonga buku wakati mfukoni una 30,000 mwingine akahonga milioni wakati mfukoni ana milioni sitini,hapo nani kahonga nyingi?
Nikutafutie milioni moja basi, uko tayari?inawezekana utupu una thamani kuliko pesa ila nnachokiona ni kwamba aliehongwa pesa atoe utupu hana stress za kuonwa utupu mwenye stress ni yule aliehonga millioni na bado akadharauliwa.
pengine hata wewe unajua ukweli kuwa pesa uliyopoteza ina thamani kuliko uchi wa kununua ndo mana moyo unakuuma.
asee kumbe hadi wanaume wenzako unanunuaga? We mchicha mwiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikutafutie milioni moja basi, uko tayari?
Daa kweli kwako wewe pesa ina thamani kuliko utupu wako,staki laana hiyo nilikuwa nakujaribu tuasee kumbe hadi wanaume wenzako unanunuaga? We mchicha mwiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utupu wangu sio wa kununua so una thamani. Utupu wa kununua hauna thamani ndo mana ukimaliza unajutia hela zako unasema bora ungefanyia kitu cha maana kuliko kuhonga mil 1 halafu bado unadhalilishwa kuwa huna uwezo wa kupafom [emoji2]Daa kweli kwako wewe pesa ina thamani kuliko utupu wako,staki laana hiyo nilikuwa nakujaribu tu
Bora kingeumana, huyu wamemuuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kimeumana!
Ama kweli ameumwa na nyoka wa bustanini mpenda ulimwenguBora kingeumana, huyu wamemuuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kaperfom vizuri halafu kata ghafla mahusiano,utakuja kutuambia atakavyokusifiaUtupu wangu sio wa kununua so una thamani. Utupu wa kununua hauna thamani ndo mana ukimaliza unajutia hela zako unasema bora ungefanyia kitu cha maana kuliko kuhonga mil 1 halafu bado unadhalilishwa kuwa huna uwezo wa kupafom [emoji2]
Basi uwe unajiuza tu mkuu hata hadharaniUkitaka kujua mwili wako hauna thamani,pata changamoto za kiafya zitakazokupelekea mara kwa mara kufunuliwa hospitali