zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Huu ndio unafiki tunaopinga, hii mada tu inaeleza jinsi Israel na US zilivyofadhili vikundi vya kigaidi vya kikurdi. Kumbuka PKK iko listed kama kikundi cha kigaidi na CIA so kuwasaidia affiliated groups za wakurdi ili kupindua Iran ni automatically kufadhili ugaidi.Iran mjinga sana ,badala ya uwaze kujenga nchi unawaza jinsi gani ya kutengeneza makundi ya kigaidi ya kuisumbua Israel.
Hata Israel inafadhili unaowaita magaidi au hujui Rais wa sasa wa Syria ambaye alikua kiongozi wa Al Qaeda alipewa msaada wa kivita na US-Israel ili kupindua nchi. Ila kwa sababu kasaidiwa na israel ni halali ila ingekua Iran imemsaidia mtu wa Al Qaeda ingeitwa baba wa ugaidi duniani.Ila safari hii katepeta hasa,maana kapigwa kianzia gaza hadi lebanoni,bado tu wale wavaa vipedo wa Yemen
Wakurdi kiukweli wanastahili taifa lao ila sasa hii ya kutumika na nchi zenye mabifu yao ndio itawachelewesha.Wakurdi Kwa ujumla wao Mimi wala siwalaumu, wao wanatafuta namna ya Ku survive...Wakurdi ndio jamii ambayo inaishi in survival mode muda wote na miaka yote Hadi sasa. US hafai kabisa.
Wanawatumia then wanawaacha, inakuwa ni cycle ya kutumika Tu.Wakurdi kiukweli wanastahili taifa lao ila sasa hii ya kutumika na nchi zenye mabifu yao ndio itawachelewesha.
Kurdi waliwahi pewa silaha za US kupambana na ISIS huko Syria na Iraq ila baada ya kushinda wakasalitiwa na hao hao marekani walipoondoa msaada wao na wakaachwa watandikwe na majeshi ya Assad.
Wakurd wapo Irak, Syria, Uturuki taifa lao litakuwa wapi?Wakurdi kiukweli wanastahili taifa lao ila sasa hii ya kutumika na nchi zenye mabifu yao ndio itawachelewesha.
Kurdi waliwahi pewa silaha za US kupambana na ISIS huko Syria na Iraq ila baada ya kushinda wakasalitiwa na hao hao marekani walipoondoa msaada wao na wakaachwa watandikwe na majeshi ya Assad.
Umeielewq hoja Iliyopo mezani !?Iran mjinga sana ,badala ya uwaze kujenga nchi unawaza jinsi gani ya kutengeneza makundi ya kigaidi ya kuisumbua Israel.
Ila safari hii katepeta hasa,maana kapigwa kianzia gaza hadi lebanoni,bado tu wale wavaa vipedo wa Yemen
Kurdistan ina ramani hiiWakurd wapo Irak, Syria, Uturuki taifa lao litakuwa wapi?
Ndio jeshi la pili kwa ukubwa ndani ya NATO nyuma tu ya USA. Basically Israel amezidiwa kila kitu na Uturuki ndio maana aliposema anaingia upande wa Iran wakapoteana.Kwanini uturuki inaogopeka sana hapo mashariki ya kati
Hii ya Ahmedinajad kuhusika wanadai ni conspiracy mkuuGazeti la New York Times imeripoti mpango uliokuwa umesukwa na Mossad kwa ushirikiano wa karibu na CIA wa kutumia vikundi vya waasi wa kikurdi huko Iran na Iraq ili kushambulia na kupindua serikali ya Iran.
Mipango hii pia ilihusisha kumtumia Rais mstaafu wa Iran Mohammed Ahmedinejad kama kiongozi wa kisiasa wa mapinduzi hayo ya kijeshi kama yangefanikiwa.
Taarifa inaeleza vikao vilifanyika kati ya Rais Ahmedinejad na viongozi wakuu wa Mossad kwenye maeneo tofauti tofauti duniani kwa mwavuli wa "makongamano ya mazingira".
Mpango huu ulibuniwa kama Plan B baada ya maandamano yaliyoandaliwa na Mossad kufeli mapema mwaka huu baada ya silaha alizotoa Rais Trump kushindwa kuwafikia waandamanaji waliokua wameandaliwa kwa mapinduzi.
Hivyo basi, Mossad na CIA zikaamua kutafuta "magaidi" wa jamii ya kurdi ikiwemo Kurdistan Free Life Party (PJAK), Kurdistan Freedom Party (PAK) na Komala. Vikundi hivi vilipatiwa pesa na silaha na intelijensia yote waliyotaka. Vyote hivi vilipangwa kushambulia kutokea upande wa Iraq.
Hata hivyo mpango huu ulifeli kabla hujaanza baada ya Uturuki kupitia Rais Erdogan kutoa msimamo kwamba wataingia vitani upande wa Iran kwa kutoa ndege-vita na makombora mazito kupambana na uvamizi huo wa wakurdi.
Ikumbukwe wakurdi ni tishio kwa serikali ya uturuki kwani wana mpango wa kuunda taifa huru inayohusisha baadhi ya ardhi ya uturuki na wamekuwa wakifanya mashambulizi ya kigaidi ndani ya uturuki kwa miaka mingi sasa. Hivyo Uturuki haipo tayari kuona Iran inadondokea mikononi mwa adui zake wakubwa wa ndani.
Kwa hofu ya kwamba Uturuki ina jeshi kubwa na imara hivyo kuingia kwake vitani kungetishia uwepo wa Israel ikabidi Trump amuombe Erdogan asiingie vitani kwa ahadi ya kutovamia tena Iran kwa wanajeshi wa kikurdi.
Source: The New York Times
Note: Tulisema Israel na US ndio wafadhili wakubwa wa ugaidi leo imekua wazi. Hata maandamano waliyodai ni ya raia yalikua yameanzishwa na CIA-Mossad na sio raia.
Cc Proved MALCOM LUMUMBA 100 others