Uturuki inaituhumu Israel kwa genocide kwa Wapalestina. Je, wao wamesahau walichowafanyia Wakristo wa Armenia?

Huyu Edrogan huwa anamtuhumu sana Netanyahuu kuhusu palestina ila yeye ameteketeza wakurdi sana yaani waislamu huwa ni wanafiki na lia lia wanachokifanya wao huwa hawajioni ila wanayaona ya wenzao
Amewaua snaaaaaaaaaaaa
 
Kwa sababu uliharibu ujanani ndiyo iwe sababu ya kufumbia makosa uzeeni?- Two wrongs don't make it right.
 
1915 sio 2024 ni zaidi ya miaka 100, wakati huo kila nchi ilikuwa na ubabe wake, hata sisi huku tulitawaliwa na wakoloni ambao ndio hao hao sasa hivi wanampa Silaha Ukraine ili asitawaliwe na Russia (mkoloni mpya)
 
Huyu Edrogan huwa anamtuhumu sana Netanyahuu kuhusu palestina ila yeye ameteketeza wakurdi sana yaani waislamu huwa ni wanafiki na lia lia wanachokifanya wao huwa hawajioni ila wanayaona ya wenzao
Hakuna nchi ambayo sio nafiki iwe ya waislamu au ya wakristo, US alivamia Iraq kwa hoja ya silaha za maangamizi lakini hakuna walichopata, walitumia uongo kutimiza malengo yao
 
Propaganda hizo. Ingalikuwa kweli Vatican wangalikuwa washaandika
 
Acha upumbavu huwezi kuhalalisha uovu wa sasa kwa kisingizio cha nambo yaliyo pita zaidi ya miaka 110 iliyo pita.
Kama ndo hivyo basi wamagharibi wasingekuwa na haki ya kuongelea kitu kinacho itwa sijui haki za binadamu.
Hawa wamagharibi mnao wategemea waikemee ccm kuhusu democracy na haki za binadamu, miaka 90 iliyo pita walikuwa wanawaweka waafrica kwenye zoo za wanyama kama maonyesho ,na wameua mamilioni ya watu wakiwemo waafrica wenzio walio kuwa wana dai uhuru wa nchi zao.
Alafu punguza chuki dhidi ya waisilam ipo siku moyo wako utapasuka na ufe maana chuki yako dhidi ya uislam sio ya kawaida, na usishangae hao waisilam unao wachukia ndo wakaja kukuolea mabinti zako,au kuwa tegemeo kwenye maisha ya kizazi chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…