Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1915 sio 2024 ni zaidi ya miaka 100, wakati huo kila nchi ilikuwa na ubabe wake, hata sisi huku tulitawaliwa na wakoloni ambao ndio hao hao sasa hivi wanampa Silaha Ukraine ili asitawaliwe na Russia (mkoloni mpya)Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000.
Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople.
Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu kwenye Jangwa la Syria mwaka wa 1915 na 1916.
Wakiwa wana pelekeshwa kinguvu na wanajeshi, waliohamishwa walinyimwa chakula, maji na kufanyiwa unyang’anyi, kubakwa na kuuliwa. Katika Jangwa la Syria, walionusurika walitawanywa katika kambi za mateso.
Mnamo 1916, wimbi jingine la mauaji lilifanyika huku likiwaacha pekee wahamishwa wapatao 200,000 wakiwa hai hadi kufikia mwisho wa mwaka.
Takriban wanawake na watoto 100,000 hadi 200,000 wa Armenia waligeuzwa kwa lazima kuwa Waislamu na kujumuishwa katika kaya za Kiislamu.
Mauaji haya ya halaiki yalikomesha zaidi ya miaka elfu mbili ya historia ya Armenia katika mashariki Anatolia. Pamoja na mauaji ya halaiki na kufukuzwa kwa Wakristo na Waorthodoksi, iliwezesha kuundwa jaamhuri ya uturuki.
Hakuna nchi ambayo sio nafiki iwe ya waislamu au ya wakristo, US alivamia Iraq kwa hoja ya silaha za maangamizi lakini hakuna walichopata, walitumia uongo kutimiza malengo yaoHuyu Edrogan huwa anamtuhumu sana Netanyahuu kuhusu palestina ila yeye ameteketeza wakurdi sana yaani waislamu huwa ni wanafiki na lia lia wanachokifanya wao huwa hawajioni ila wanayaona ya wenzao
Propaganda hizo. Ingalikuwa kweli Vatican wangalikuwa washaandikaMamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000.