Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Kanuni za kivita na matumizi ya anga huwezi kutumia ubabe kabla hujatangaza vita na wanaokalia anga husika.Hii pekee inatosha kukuonyesha nani mbabe.
Kwa nini Turkey hajatumia nguvu?
Hata siku Tanzania ikisema ndege za US marufuku kukatisha juu yake na ikawa kweli Tanzania imedhamiria basi hizo ndege zitakaa mbali na Tanzania.