Uturuki japo imechelewa nayo imeanza kujiunga na Hamas dhidi ya Israel

Hii pekee inatosha kukuonyesha nani mbabe.
Kwa nini Turkey hajatumia nguvu?
Kanuni za kivita na matumizi ya anga huwezi kutumia ubabe kabla hujatangaza vita na wanaokalia anga husika.
Hata siku Tanzania ikisema ndege za US marufuku kukatisha juu yake na ikawa kweli Tanzania imedhamiria basi hizo ndege zitakaa mbali na Tanzania.
 
Reactions: 511
Ni huyo huyo mmoja tu ambaye hana upungufu kama mnavyodhania nyinyi.
Yaani Yesu(Issa bin Maryam) apewe adhabu kama hizo na mayahudi halfu Allah amuwache mpaka mwisho.Alimpaisha mbinguni na mayahudi wakaachiwa kinyago wateseke nacho.
MAARABU NADHANI NDIO WANATESEKA NA UWEPO WA WAYAHUDI NA IMANI YAO KWA MUNGU WAO WA KIYAHUDI YEHOVA
 
Acheni kumkosea heshima Yesu,mtume wetu miongoni mwa mitume mitukufu.
Kwa mujibu wa Qurr'an Hakufikwa na janga hilo la aibu.Mola wake aliwahi kumuokoa kabla washenzi wa kiyahudi hawajamdhuru.
 
TUSHAZOEA ARAB'S AND MUSLIMS PROPAGANDA AGAINST JEW,S.
UZURI HISTORIA IPO WAZI
 
Nani alikwambia Jews wanatishika na vikwazo mfu kama hvyo !!!!

Wao wakianzisha jambo huwa hakuna mtu wa kuwaamulia mpk lengo litimie ...endelea kujifariji kuwa mtapata ahueni , mlilianzisha wenyewe Oct 7
Wanaomba poooh
 
Reactions: 511
Kama za Israel ndio silaha bora mbona zimeshindwa kuwapiga Hamas wamebaki kuuwa watu bure.Wagonjwa,wanawake na watoto.
Hao watu wameuliwa na nini kama sio hizo siraha?
 
Turkey hana la kumfanya Israel.
Anajaribu kujitutumua tu ili arab countries wasimuona msaliti.
 
Kama za Israel ndio silaha bora mbona zimeshindwa kuwapiga Hamas wamebaki kuuwa watu bure.Wagonjwa,wanawake na watoto.
Sasa kama Israel inaua watoto na wake wa wapiganaji wa hamas si wawatetee sasa ili wasiuawe, kwann wanajificha huko kwenye mashimo kama kweli wao vidume??
Wabaki kwenye sarface wapigane uso kwa macho na mazayuni, waache kurusha viroketi na kukimbilia mashimoni!!.
 
Uturuki nayo iko mbali sana kiteknolojia za kivita.
Anasahau nu hao hao uturukj ndo wemetujengea sgra ile ya kutoka dar mpaka morogoro within uropean standard
Anasahau turkey wana jet za 5th generation na Dron za byrakt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…