Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mimi nadhani huu mskiti haujabomoka kwenye Tetemeko kwa sababu jengo lake halijaenda juu sana...wewe unafikiri kwanini Mskiti Pekee haujabomoka..?[emoji846][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yapo mengi tu, wanataka kuleta upuuzi, nauita upuuzi!Hakuna majengo mengine ambayo hayajabomoka zaidi ya huo msikiti? Tuanzei hapo kwanza.
Majengo yaliyoanguka mengi sana yalijengwa chini sana ya viwango. Majengo mengi yaliyojengwa kwa viwango ikiwemo huo msikiti hayakuanguka.Mimi nadhani huu mskiti haujabomoka kwenye Tetemeko kwa sababu jengo lake halijaenda juu sana...wewe unafikiri kwanini Mskiti Pekee haujabomoka..?[emoji846][emoji120][emoji120]
View attachment 2517228
Ha ha ha hatari sana watoto wa Paulo na Mohammed wana rushiana mashambulizi bado watoto wa Mussa.Wazee wa conspiracy mshaanza
Juzi tumeletewa sanamu la Bikra Maria hatuja poa vizuri waislamu mmeamua mje na come back
Ha ha ha hatari sana Paulo na Mohammed wana rushiana mashambulizi bado watoto wa Mussa.
Wengine wanasema hata jengo la ERB yao halijaanguka..... stories hizi bana.Mimi nadhani huu mskiti haujabomoka kwenye Tetemeko kwa sababu jengo lake halijaenda juu sana...wewe unafikiri kwanini Mskiti Pekee haujabomoka..?[emoji846][emoji120][emoji120]
View attachment 2517228
Nimeiona hii tweeter pamoja na hii ya kiislamu. Ha ha ha ha.
Ingekuwa huku bongo kwa fundi Maiko sasa.kiwango cha ujenzi, hakuna lolote hapo. Hata yule engineer wa jengo flani aliyekamatwa. Jengo za pembeni hazijaharibika ila ni hlo.
Kila nikiiwaza posta naona majonziIngekuwa huku bongo kwa fundi Maiko sasa.
We acha tu muzeye.Kila nikiiwaza posta naona majonzi
Wa kinjekitile tunawadeku na double kick zetu mikononi.Ha ha ha hatari sana watoto wa Paulo na Mohammed wana rushiana mashambulizi bado watoto wa Mussa.
Wajinga wanazidi kuongezeka kwa kasi sanaNimeiona hii tweeter pamoja na hii ya kiislamu. Ha ha ha ha.
Ujenzi mbovu ndio umewagharimu. Majengo yenye viwango hayajaanguka.Wengine wanasema hata jengo la ERB yao halijaanguka..... stories hizi bana.
Ha ha ha ha, nyie bado zamu yenu. ha ha ha haWa kinjekitile tunawadeku na double kick zetu mikononi.