mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Allah hana ubavu toka aombe dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi Mungu Mwenyezi Akampotezea, Wakristo na Wayahudi bado wanadunda imemchanganya![emoji56][emoji56][emoji35]Sio allah mkuu?nauliza kwa kunong'ona
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!