Uturuki msikiti pekee haujaporomoka kwenye tetemeko

Uturuki msikiti pekee haujaporomoka kwenye tetemeko

Mimi nadhani huu mskiti haujabomoka kwenye Tetemeko kwa sababu jengo lake halijaenda juu sana...wewe unafikiri kwanini Mskiti Pekee haujabomoka..?[emoji846][emoji120][emoji120]

View attachment 2517228
Umebakia huo tu Mingine yoote imeanguka! ndivyo??!
Sifa zoote ziende kwa Mjenzi![emoji122][emoji122][emoji123][emoji106]
 
[emoji28][emoji28]kuna wapuuzi walikwenda kutizama gari iliyowaka moto,wakakuta quran imeungua nje na pembeni tu,subanallah zikaanza kwamba kitabu cha maajabu hakijaungua[emoji23][emoji23].

Yaani imeshindikana hata mmoja kati yao kuuliza kwanini kiungue pembeni na ktk cover??

Kuna watu wa dini,halafu kuna wapumbavu wenye dini.
 
Mimi nadhani huu mskiti haujabomoka kwenye Tetemeko kwa sababu jengo lake halijaenda juu sana...wewe unafikiri kwanini Mskiti Pekee haujabomoka..?[emoji846][emoji120][emoji120]

View attachment 2517228
images (23).jpeg

Pia kuna maghorofa yaliyobaki yamesimama aisee
 
Back
Top Bottom