Uturuki: Tutaendelea kusimama na HAMAS katika vita vyao vya Ukombozi!

mbona hasogezi pua sasa,?! Anaishia kubweka tu kwa mbali kama jibwa koko
 
Kusimama na watu walioanzisha mwenyewe uchokozi october 7 ni ujinga na ulimbukeni. Waturuki nilikuwa nawaheshimu sana lakini katika hili, sitafatilia tena tamthilia zao.
 
Uturuki kama kuna kipindi mnakumbuka ile meli yake iliyobeba msaada wa wapalestina ilishambiuliwa na jeshi la Israel na kuuwa baadhi ya watu waliokua ndani yake na uturuki ililalamika sana na kukata mawasiliano lakini kama ilikua na ubavu mbona ilishindwa kuivamia Israel.Hii
mission iliyochezwa na Hamas imefeli ni plani mbovu kuwai tokea bora wangewateka wale wa Israel pasipo kuua mtu Lakini kosa kubwa ni lile la kuua hovyo raia na askari hapo unategemea Israel ingekubali eti wakae mezani.
Nyerere pamoja na upole wake alishindwa kukaa meza moja na Idd Amin akaamua kuingiza majeshi ambayo yalisababisha mauaji.
 
Kusimama na watu walioanzisha mwenyewe uchokozi october 7 ni ujinga na ulimbukeni. Waturuki nilikuwa nawaheshimu sana lakini katika hili, sitafatilia tena tamthilia zao.

Hujui vita hii imeanza 1948?
 
BREAKING: Israel puts 100% tariff on imports from Turkey until the end of Erdogan's term.

Kumbe aliyeanza kupigwa munda kisha kulia lia alikuwa nani?



 
kuisingizia israel makosa yasiyo yake ni kukosea sana.. akumbuke captain ni eli copta
 
Siyo vyepesi kama unavyodhani, watu mnashangaza sana ikumbukwe Israel ni nuclear state, hivyo hakuna taifa la kuingia kichwa kichwa kuushambulia Israel, vita haiwezi kuwa suluhu pale middle East.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…