Juzi kati niliona mdada wa kizungu analalamika meli yao ya misaada kwa watu wa gaza imekwama uturuki, waturuki wameizuia kwa maelekezo toka kwa USA, sasa kama mzee erdogan anachoongea kinatoka moyoni kwanini alizuia ile meli?
Mturuki haaminiki.
1. Mkuu makosa mawili hayafanyi Moja kuwa sahihi!
2. Mturuki haaminiki? Nani anaaminika?
3. Hapo #2 ni Israel, USA, Russia, Israel, German, UK, Japan, Saudia, Qatar, Jordan, Iraq, Egypt, Iran, India, Pakistan, Australia, Canada, Argentina, France, Tanzania, Kenya au Ukraine, nk nk; kwenye lipi?
4. Hapo #3, inaweza vipi nchi kuunga mkono Russia na Israel Kwa wakati mmoja?
5. Kwa hIyo kwenye kuaminika unaonaje tuanzie hapo #4 kwenye urafiki na Mungu na Shetani Kwa wakati mmoja?
6. Chako cha kuaminika hapa huoni ni mwendelezo wa zile siasa za Chadema uchwara kuwa Zitto haaminiki?
7. Hapo #6 niuhimu kutambua Natenyahu akiwa na jema kama kumzodoa Russia Kwa uvamizi pamoja na uvamizi wake Gaza tutamwunga mkono Ukraine tukimzodoa Gaza Kwa kelele zile zile!
8.
johnthebaptist nikukaribu kukutana na kijana wangu chamani na zile tunazoziita siasa uchwara ndani ya Chadema na pasipo kupepesa macho!
8. Nisiache kuwakumbusha kina
Moisemusajiografii,
Mzee Kigogo,
denoo JG,
PakiJinja,
Lucas Mwashambwa na machawa wengine waandamizi;
uchawa ni laana!