Uturuki yapeleka Vikosi na Drones Somalia, karibu na mpaka wa Kenya

Kwaiyo mmekubali kuwaachia, haki sijawahi ona hii kitu,
Brother how reason that way at your age?
Someone should not invade your land as a Nation na useme its just a rock, even a 10cm should not happen and at that point no nation on earth shows tolerance, kama usipoweza kulinda that rock as u said what makes you think you can protect a county?
What if you'll come to realize that the rock has multibillion worthy mineral deposits beneath ?
Game over Kenya inaweza kuitandika Uganda vibaya sana. Lakini tunajizuia tu maana hatutaki kuharibu uhusiano wetu wa karibu. Kenya ina uwezo wa kutosha wa kuinyorosha Uganda kisawa sawa. Lakini saa zingine tunaamua kunyamaza tu na kuendelea na diplomasia. Usione simba kanyeshewa ukadhani paka.
 
Kenya isikubali kuwa ya kinyonge ipigane tu isijali hivyo vikosi ingawa najua uhuru mjanja sana hatapigania lakini kenya ni lazima ilinde heshima yake na iwe nchi ya misimamo😀😀😀🐍🐍🕷️🕷️
Screenshot_2020-12-24-08-32-32-860_com.android.chrome.jpg

Mkuu unalijua balaa la hizi drones...if hujui waukize Marekani, Armenia, Libya, Syria. Kenya hawatapepesa ata kope hapo...
 
View attachment 1658093
Mkuu unalijua balaa la hizi drones...if hujui waukize Marekani, Armenia, Libya, Syria. Kenya hawatapepesa ata kope hapo...
Drone ni mambo mbaya. Tuambiane ukweli. Armenia waliona moto. Tanks zao zilifagiliwa kabisa. Era za kutumia tanks kupigana imeisha. Sasa hivi tuko kwenye era za drones. Nchi ambayo ina drones nyingi ndio itashinda vita.
 
View attachment 1658094
Unazijua hizi..hiyo moja unaweza teketeza nyang'au wote na vifaa vyao
Kenya sio stupid tuende tupigane na drones bana. Drones sio kitu cha kuletea kiburi. Drone inakufagilia mbali hata ukiwa na tank, tank lenyewe linafagiliwa linabaki gofu. Tunataka Somalia wakuje wenyewe waache kujificha nyuma ya matako ya mturuki kama mtoto mdogo aliyechokoza mwenzake na kukimbia kujificha nyuma ya mzazi wake ili aweze kupata usalama.
 
Drone ni mambo mbaya. Tuambiane ukweli. Armenia waliona moto. Tanks zao zilifagiliwa kabisa. Era za kutumia tanks kupigana imeisha. Sasa hivi tuko kwenye era za drones. Nchi ambayo ina drones nyingi ndio itashinda vita.
Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.
 
Kenya sio stupid tuende tupigane na drones bana. Drones sio kitu cha kuletea kiburi. Drone inakufagilia mbali hata ukiwa na tank, tank lenyewe linafagiliwa linabaki gofu. Tunataka Somalia wakuje wenyewe waache kujificha nyuma ya matako ya mturuki kama mtoto mdogo aliyechokoza mwenzake na kukimbia kujificha nyuma ya mzazi wake ili aweze kupata usalama.
Tatizo hicho kikosi kimefundishwa na Uturuki..unategemea nn hapo
 
Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.
Mbona wasitumie hizo drones kuangamiza Al Shabab badala ya kuleta ligi kwa Kenya?
 
Game over Kenya inaweza kuitandika Uganda vibaya sana. Lakini tunajizuia tu maana hatutaki kuharibu uhusiano wetu wa karibu. Kenya ina uwezo wa kutosha wa kuinyorosha Uganda kisawa sawa. Lakini saa zingine tunaamua kunyamaza tu na kuendelea na diplomasia. Usione simba kanyeshewa ukadhani paka.
Tupeni strategy mtakayo itumia against Su- 30 na Su -29 zitakapotua hapo Nairobi.
 
Kdf pia inastahili kununua drones kama ishirini ndio kakinuka na Somalia tunatuma nyuki zetu ziende zifanye mashambulizi
 
Tupeni strategy mtakayo itumia against Su- 30 na Su -29 zitakapotua hapo Nairobi.
Kwani Kenya haina fighter jets? Ama jina Sukhoi ndio inakutisha? Kama uganda wangekuwa na drones ishirini ndio ningeogopa. Hio vita ya Armenia na Azerbaijan nimeifuatilia kwa karibu sana na nimeona kuwa drone ndio mashine ya kuogopa.
 
Kwakweli kwa hapo hatujawahi chaka na Nyani, na ndio dawa ya hawa wazandiki.
Yani ukitaka ujue TPDF linafananaje bac jaribu kuingilia mipaka au maeneo ya Tanzania..Balaa lake co la kitoto wale magaidi Mtwara hawana hamu na TPDF
 
Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.
Not that drones are invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.
 
Not that drones arent invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.
-I hope mmejiandaa na hizo ECM historian isije pinduliwa...
- Tactics za kupambana na drones Ni expensive kuliko ndrones zenyewe sijui Kama unafahamu hicho..
-Hizo drones za Turkey Zina carry weapons ambazo zinafumua Hadi mahandaki, zinapiga Hadi fighter jets ( Su30 imeshawahi dondoshwa)...just feed your brain go to YouTube and watch those drones...utakuja nishukuru hapa.
 
Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.
Hio article ilkuwa Propaganda tupu nani alikuambia ati Somalia wana attack drones.😂😂...hata Kama wanazo tutawapiga tu hata bila kutuma footsoldiers.
 
Back
Top Bottom