Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Umeshaelezewa hapo juu na Nicxie. Rudi ukasome tenaSomalia na Ethiopians amewachokozaje sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaelezewa hapo juu na Nicxie. Rudi ukasome tenaSomalia na Ethiopians amewachokozaje sasa.
Game over Kenya inaweza kuitandika Uganda vibaya sana. Lakini tunajizuia tu maana hatutaki kuharibu uhusiano wetu wa karibu. Kenya ina uwezo wa kutosha wa kuinyorosha Uganda kisawa sawa. Lakini saa zingine tunaamua kunyamaza tu na kuendelea na diplomasia. Usione simba kanyeshewa ukadhani paka.Kwaiyo mmekubali kuwaachia, haki sijawahi ona hii kitu,
Brother how reason that way at your age?
Someone should not invade your land as a Nation na useme its just a rock, even a 10cm should not happen and at that point no nation on earth shows tolerance, kama usipoweza kulinda that rock as u said what makes you think you can protect a county?
What if you'll come to realize that the rock has multibillion worthy mineral deposits beneath ?
Kenya isikubali kuwa ya kinyonge ipigane tu isijali hivyo vikosi ingawa najua uhuru mjanja sana hatapigania lakini kenya ni lazima ilinde heshima yake na iwe nchi ya misimamo😀😀😀🐍🐍🕷️🕷️
Tutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
Drone ni mambo mbaya. Tuambiane ukweli. Armenia waliona moto. Tanks zao zilifagiliwa kabisa. Era za kutumia tanks kupigana imeisha. Sasa hivi tuko kwenye era za drones. Nchi ambayo ina drones nyingi ndio itashinda vita.View attachment 1658093
Mkuu unalijua balaa la hizi drones...if hujui waukize Marekani, Armenia, Libya, Syria. Kenya hawatapepesa ata kope hapo...
Mtatumia zile flying coffins (f5) ?Kenya shares 850km border with somalia. Hawa jamaa wako Bura hawo,tunafanya tu fly past moja tuna wa decimate.
Kenya sio stupid tuende tupigane na drones bana. Drones sio kitu cha kuletea kiburi. Drone inakufagilia mbali hata ukiwa na tank, tank lenyewe linafagiliwa linabaki gofu. Tunataka Somalia wakuje wenyewe waache kujificha nyuma ya matako ya mturuki kama mtoto mdogo aliyechokoza mwenzake na kukimbia kujificha nyuma ya mzazi wake ili aweze kupata usalama.View attachment 1658094
Unazijua hizi..hiyo moja unaweza teketeza nyang'au wote na vifaa vyao
Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.Drone ni mambo mbaya. Tuambiane ukweli. Armenia waliona moto. Tanks zao zilifagiliwa kabisa. Era za kutumia tanks kupigana imeisha. Sasa hivi tuko kwenye era za drones. Nchi ambayo ina drones nyingi ndio itashinda vita.
Tatizo hicho kikosi kimefundishwa na Uturuki..unategemea nn hapoKenya sio stupid tuende tupigane na drones bana. Drones sio kitu cha kuletea kiburi. Drone inakufagilia mbali hata ukiwa na tank, tank lenyewe linafagiliwa linabaki gofu. Tunataka Somalia wakuje wenyewe waache kujificha nyuma ya matako ya mturuki kama mtoto mdogo aliyechokoza mwenzake na kukimbia kujificha nyuma ya mzazi wake ili aweze kupata usalama.
Mbona wasitumie hizo drones kuangamiza Al Shabab badala ya kuleta ligi kwa Kenya?Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.
Tupeni strategy mtakayo itumia against Su- 30 na Su -29 zitakapotua hapo Nairobi.Game over Kenya inaweza kuitandika Uganda vibaya sana. Lakini tunajizuia tu maana hatutaki kuharibu uhusiano wetu wa karibu. Kenya ina uwezo wa kutosha wa kuinyorosha Uganda kisawa sawa. Lakini saa zingine tunaamua kunyamaza tu na kuendelea na diplomasia. Usione simba kanyeshewa ukadhani paka.
Kwani Kenya haina fighter jets? Ama jina Sukhoi ndio inakutisha? Kama uganda wangekuwa na drones ishirini ndio ningeogopa. Hio vita ya Armenia na Azerbaijan nimeifuatilia kwa karibu sana na nimeona kuwa drone ndio mashine ya kuogopa.Tupeni strategy mtakayo itumia against Su- 30 na Su -29 zitakapotua hapo Nairobi.
Kumbe mnazo eeeh zMbona wasitumie hizo drones kuangamiza Al Shabab badala ya kuleta ligi kwa Kenya?
..kumbe mnazo zile F5?Kwani Kenya haina fighter jets? Ama jina Sukhoi ndio inakutisha?
Uganda hawana drones kwa hivyo relax. Hao tunawafira bila kupaka mate.Kumbe mnazo eeeh z
..kumbe mnazo zile F5?
Yani ukitaka ujue TPDF linafananaje bac jaribu kuingilia mipaka au maeneo ya Tanzania..Balaa lake co la kitoto wale magaidi Mtwara hawana hamu na TPDFKwakweli kwa hapo hatujawahi chaka na Nyani, na ndio dawa ya hawa wazandiki.
Hata awo Ethiopia huu mziki awaiweziTutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
Not that drones are invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.
-I hope mmejiandaa na hizo ECM historian isije pinduliwa...Not that drones arent invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.
Hio article ilkuwa Propaganda tupu nani alikuambia ati Somalia wana attack drones.😂😂...hata Kama wanazo tutawapiga tu hata bila kutuma footsoldiers.Sure..nafikiri kwenye drones Uturuki ndo wapo juu kwa Sasa... Mizinga, magari , tanks, ata fighter jet zinadhibitiwa na hako kajamaaa..so kikosi Cha wanajeshi wachache Sana wanaweza shinda Vita wakiwa na hivyo vidude. Na hivyo waturuki wamewapa hao wasomali.