Uturuki yapeleka Vikosi na Drones Somalia, karibu na mpaka wa Kenya

kuna sehemu nimeomba. unionyeshe!!zaidi ya kukwambia nasubiri majibu yao!!!
Mbona unasubiri majibu yao? Ndio uone nini? Ndio uone tukiangamizwa? Ndio uone tukipigwa risasi? Halafu utahisi vipi? Utafurahi ukiona tukipigwa marisasi? Mkuu usilete ligi kwa haya mambo. Sio mambo yote ya kuleta ligi. Nakuomba tu.
Halafu sijui mbona unasupport magaidi. Kila mtu anastahili kuchukia magaidi maana gaidi hana upendo au loyalty na mtu yeyote. Gaidi akipewa amri auwe mama yake basi atafanya hivyo. Akipewa amri aje afanye mashambulizi Tanzania basi atafanya hivyo. Kwa hivyo Gaidi sio rafiki yako na atakugeuka siku moja.
 
tatizo lenu wakenya ni moja tu,kujiona mnajua sana kumbe weupe.
hivi unajua madhara ya kupost picha kama hizo hapo juu,na tafsiri yake kwao hao magaidi!!!

tafsiri yake mnawazomea na kuwa dhihaki kwamba mmewaweza,sasa nikikwambia hilo ni kosa,sababu tu mimi ni mtz basi utaona ni ujinga.taasisi zenu za kiusalama zimelala.

leo hii nakwambia subiri majibu sababu najua,hamjajipanga kuwazuia,wanawezajibu muda wowote tu.
 
Back
Top Bottom