Uturuki yapeleka Vikosi na Drones Somalia, karibu na mpaka wa Kenya

Uturuki yapeleka Vikosi na Drones Somalia, karibu na mpaka wa Kenya

Uzuri alshababu wapo hadi Nairobi tena ikulu kabisa!

Yani watu wanaosemaga Kenyata ni smart sijui huwa wanaangalia kitu gani
 
Sasa mbona hatusikii nchi iliyoendelea kama South Africa ikigombana na Msumbiji au Zimbabwe?
Ndiyo iwe hii Kenya ni nchi fukara ya Ulimwengu wa Tatu? Jibu ni kuwa Kenya inatumiwa vibaya na wazungu kupitia viongozi wake vibaraka na hiyo ndiyo sababu kuu. Hatuoni Nchi zilizoendelea kama Misri au Tunisia au Algeria zikigombana na majirani wote kama Kenya.
Ikumbukwe Kibaraka mkuu wa wazungu alikuwa mzee Jomo Kenyatta mwanzilishi wa Taifa lenu, hanif leo familia yake inatawala ndio maana imekuwa ni kama mwendelezo tu.
Kenya imetumiwa aje na wazungu ikija kwenye swala LA Migingo? No Ethiopia kutungua ndege za Kenya tumetumikaje na wazungu? Nincompoop!
 
Kenya imetumiwa aje na wazungu ikija kwenye swala LA Migingo? No Ethiopia kutungua ndege za Kenya tumetumikaje na wazungu? Nincompoop!
Mzungu anawadanganya muwe mnachokoza majirani zenu na nyie mlivyo wajinga mnaenda tu vichwa vichwa bila kufikiria.
 
Mzungu anawadanganya muwe mnachokoza majirani zenu na nyie mlivyo wajinga mnaenda tu vichwa vichwa bila kufikiria.
Wewe mjinga sana. Kenya ilichokozaje Uganda kuhusu Migingo?
 
Wewe mjinga sana. Kenya ilichokozaje Uganda kuhusu Migingo?
Usiwe mpumbavu,!

Mlichokuwa mnapigania ni nini na hicho kisiwa kina kaliwa na nani sasa hivi?

Kama bado kina kaliwa na Uganda nyie mlifuata nini kule kwa kupeleka wanajeshi wenu kwenda kukichukua?
 
Usiwe mpumbavu,!

Mlichokuwa mnapigania ni nini na hicho kisiwa kina kaliwa na nani sasa hivi?

Kama bado kina kaliwa na Uganda nyie mlifuata nini kule kwa kupeleka wanajeshi wenu kwenda kukichukua?
huyo mlinzi anajua kitu gani kuhusu hizo mambo!!!,ni heri umwache tu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kenya imetumiwa aje na wazungu ikija kwenye swala LA Migingo? No Ethiopia kutungua ndege za Kenya tumetumikaje na wazungu? Nincompoop!
Vita ya Alshabaab Kenya inatumiwa na US
 
Tutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
[emoji23] [emoji23], unapiga kwa kutumia ile special force iliyokuwa inaiba mikate na blue band kule Westgate??. Hapo wasomali huwa wanajipigia tu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Usiwe mpumbavu,!

Mlichokuwa mnapigania ni nini na hicho kisiwa kina kaliwa na nani sasa hivi?

Kama bado kina kaliwa na Uganda nyie mlifuata nini kule kwa kupeleka wanajeshi wenu kwenda kukichukua?
Kweli ujinga haina dawa. Migingo ni ardhi ya Kenya na imekaliwa na Uganda kimabavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nyie ni koloni la Uganda?
Ujinga ni kwamba tukivurugana na majirani mnasena sisi ni wachokozi, tukiamua kunyamaza pia mnakerwa. Mnatakaje mibongolala?
 
Back
Top Bottom