Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea mavi kwa nini?Uzuri alshababu wapo hadi Nairobi tena ikulu kabisa!
Yani watu wanaosemaga Kenyata ni smart sijui huwa wanaangalia kitu gani
Tatizo huelewi chochote ndio maana unaona naongea mavi.Unaongea mavi kwa nini?
Kenya imetumiwa aje na wazungu ikija kwenye swala LA Migingo? No Ethiopia kutungua ndege za Kenya tumetumikaje na wazungu? Nincompoop!Sasa mbona hatusikii nchi iliyoendelea kama South Africa ikigombana na Msumbiji au Zimbabwe?
Ndiyo iwe hii Kenya ni nchi fukara ya Ulimwengu wa Tatu? Jibu ni kuwa Kenya inatumiwa vibaya na wazungu kupitia viongozi wake vibaraka na hiyo ndiyo sababu kuu. Hatuoni Nchi zilizoendelea kama Misri au Tunisia au Algeria zikigombana na majirani wote kama Kenya.
Ikumbukwe Kibaraka mkuu wa wazungu alikuwa mzee Jomo Kenyatta mwanzilishi wa Taifa lenu, hanif leo familia yake inatawala ndio maana imekuwa ni kama mwendelezo tu.
Ohoooo 😄Uzuri alshababu wapo hadi Nairobi tena ikulu kabisa!
Yani watu wanaosemaga Kenyata ni smart sijui huwa wanaangalia kitu gani
Mzungu anawadanganya muwe mnachokoza majirani zenu na nyie mlivyo wajinga mnaenda tu vichwa vichwa bila kufikiria.Kenya imetumiwa aje na wazungu ikija kwenye swala LA Migingo? No Ethiopia kutungua ndege za Kenya tumetumikaje na wazungu? Nincompoop!
Mkuu shababi ikiamua kuvuruga Nairobi ni suala la sekunde tuOhoooo [emoji1]
Nmecheka mkuu[emoji1787][emoji1787].Nairobi tunaiamishia MombasaKama somalia na uganda mnawaogopa ndio mtaweza muziki wa watanzania, tutawapiga halafu tutawapa uhuru watu wa mombasa kwa sababu tuna undugu nao
Ukiwaona unaweza kuwapa salute kwa izo nguo walizovaa,kumbe Ni kenge Kama kenge zingineCdf alikuwa Somalia for two days ,cha kushangaza ni hawakupata Intel yoyote ati ako huko ......"deep "operations indeed.
View attachment 1657958
Wewe mjinga sana. Kenya ilichokozaje Uganda kuhusu Migingo?Mzungu anawadanganya muwe mnachokoza majirani zenu na nyie mlivyo wajinga mnaenda tu vichwa vichwa bila kufikiria.
Usiwe mpumbavu,!Wewe mjinga sana. Kenya ilichokozaje Uganda kuhusu Migingo?
huyo mlinzi anajua kitu gani kuhusu hizo mambo!!!,ni heri umwache tu[emoji1][emoji1][emoji1]Usiwe mpumbavu,!
Mlichokuwa mnapigania ni nini na hicho kisiwa kina kaliwa na nani sasa hivi?
Kama bado kina kaliwa na Uganda nyie mlifuata nini kule kwa kupeleka wanajeshi wenu kwenda kukichukua?
[emoji23] [emoji23], unapiga kwa kutumia ile special force iliyokuwa inaiba mikate na blue band kule Westgate??. Hapo wasomali huwa wanajipigia tuTutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
Nakuuliza kuhusu migingo wewe unabadilisha goliVita ya Alshabaab Kenya inatumiwa na US
Kweli ujinga haina dawa. Migingo ni ardhi ya Kenya na imekaliwa na Uganda kimabavuUsiwe mpumbavu,!
Mlichokuwa mnapigania ni nini na hicho kisiwa kina kaliwa na nani sasa hivi?
Kama bado kina kaliwa na Uganda nyie mlifuata nini kule kwa kupeleka wanajeshi wenu kwenda kukichukua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nyie ni koloni la Uganda?Kweli ujinga haina dawa. Migingo ni ardhi ya Kenya na imekaliwa na Uganda kimabavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nyie ni koloni la Uganda?
Ujinga ni kwamba tukivurugana na majirani mnasena sisi ni wachokozi, tukiamua kunyamaza pia mnakerwa. Mnatakaje mibongolala?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nyie ni koloni la Uganda?