Uturuki yazuia ndege ya Rais wa Israel kukatiza kwenye anga lake

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Rais wa Taifa la Kigaidi la Israel amepigwa marufuku kukatiza katika anga ya Uturuki baada ya kualikwa kwenye mkutano wa COP 29 summit huko Baku Azbaijan.

Turkey effectively blocked Israeli President Isaac Herzog from attending the COP29 summit in Baku earlier this week by refusing to allow his plane to enter Turkish airspace, according to reports from Azerbaijani and Turkish officials.

On Saturday, Herzog's office announced that he was canceling his trip to the climate conference in Azerbaijan, citing "security considerations" as the reason, though no further details were provided.

IMG_20241118_114604.jpg
 
View attachment 3155191
Turkey haitoshi kufanya hivyo, walipaswa kuwasaidia ndugu zetu wa Palestine
 
Kwa hiyo hiyo itasaidiaje kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Bure kabisa.
 
Uyu Erdogan sio wakumwamini uyo Rais w Israel sio muda mlefu alikwenda apo Uturuki na Erdogan walikutana na kusalimiana wakipeana mikono!! Leo ndio amzue mwenzie asipite juu y anga!! Mm naona Erdogan anachaza na akili za raia w Uturuk mana nao washangaa ni Iran ndio anatoa sapot Uturuki kimya kwaiya anacheza mchezo wa kisiasa kwa faida yake.,
 
Kwa hiyo hiyo itasaidiaje kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Bure kabisa.
Atafute njia nyingine ya kupita mkuu🤠🤠🤠....ikiwezekana aje apite short cut ya Tanzania huku atafika huko anakokwenda ila kwa braza Erdogan kaambiwa marufuku kukatisha
 
Turkey haitoshi kufanya hivyo, walipaswa kuwasaidia ndugu zetu wa Palestine
Ndugu zenu kivipi? hizo jamaa hazitakiwi na arabs hata ukimbizi.. ni Human Animal hao.. vichekesho majengo yakianguka wanavamia na kuanza kuokota kila kitu hadi marehemu wanawavua viwalo
 
Wanaoichokoza Israel wanajifanyaga washindi na wababe ndio hao baadae wanajifanya ma victims wakilia na kusaga meno... kweli aanzae mmalize
 
Back
Top Bottom