Uturuki yazuia ndege ya Rais wa Israel kukatiza kwenye anga lake

Uturuki yazuia ndege ya Rais wa Israel kukatiza kwenye anga lake

Trump akienda kichwa kichwa kwenye huu mgogo na ule wa ukranj usa inakwenda kuwa papaya state
Trump na Putin ni marafiki wakubwa.

Wataigawana Ukraine.

Lakini Iran na mawakala wake wanaliwa kichwa. Trump hajasahau jaribio la kumuua lililofanywa na Iran wakati wa kampeni.
 
Trump na Putin ni marafiki wakubwa.

Wataigawana Ukraine.

Lakini Iran na mawakala wake wanaliwa kichwa. Trump hajasahau jaribio la kumuua lililofanywa na Iran wakati wa kampeni.
Trump hataki vita vya aina yoyote kwenye utawala wake, na yeye ndio aliyewatoa wanajeshi wa marekani afghanistan,na ameapa kumaliza vita ya russia na middle east , miaka yote minne trump aliyokaa alizuia vita vya aina yoyote vinavyoihusisha marekani ,ndio maana hata nato wamesema wanajipanga kukabiliana na trump
 
Azuie vita kwa njia za haki.
Sio kugawa maeneo ya watu kwa Putin.
 
Ndugu zenu kivipi? hizo jamaa hazitakiwi na arabs hata ukimbizi.. ni Human Animal hao.. vichekesho majengo yakianguka wanavamia na kuanza kuokota kila kitu hadi marehemu wanawavua viwalo
Dah una kiwango kikubwa cha chuki kwenye moyo wako na usipo ipunguza unahatarisha maisha yako.
 
Yeye Erdoğan juzi juzi tu kaua Wanawake na Watoto huko Kurdistan ambao ni Waisilamu.
Haki haijalishi huyu ni dini gani,huezi mtetea mtu kwa uovu aliofanya eti kisa ni dini moja huo ujinga mnao nyie wakristo
 
Back
Top Bottom