green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Hahahahaa"Enyi wagalatia msio na akili"; kimsingi Galatia iko Uturuki.
Israel ni taifa kigaidi ... mbona unapingana na duniaEti kigaudi la Israeli,kwani Palestina siyo magaidi? Walivamia nakuua watu 1,200+ Bure kabisa idumu Jerusalem
Waliua kidogo ilitakiwa waue wazayuni woteEti kigaudi la Israeli,kwani Palestina siyo magaidi? Walivamia nakuua watu 1,200+ Bure kabisa idumu Jerusalem
Turkey haitoshi kufanya hivyo, walipaswa kuwasaidia ndugu zetu wa PalestineRais wa Taifa la Kigaidi la Israel amepigwa marufuku kukatiza katika anga ya Uturuki baada ya kualikwa kwenye mkutano wa COP 29 summit huko Baku Azbaijan.
Turkey effectively blocked Israeli President Isaac Herzog from attending the COP29 summit in Baku earlier this week by refusing to allow his plane to enter Turkish airspace, according to reports from Azerbaijani and Turkish officials.
On Saturday, Herzog's office announced that he was canceling his trip to the climate conference in Azerbaijan, citing "security considerations" as the reason, though no further details were provided.
View attachment 3155191
Dunia ipo saudia au uarabuniunapingana
Atafute njia nyingine ya kupita mkuu🤠🤠🤠....ikiwezekana aje apite short cut ya Tanzania huku atafika huko anakokwenda ila kwa braza Erdogan kaambiwa marufuku kukatishaKwa hiyo hiyo itasaidiaje kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Bure kabisa.
Ndugu zenu kivipi? hizo jamaa hazitakiwi na arabs hata ukimbizi.. ni Human Animal hao.. vichekesho majengo yakianguka wanavamia na kuanza kuokota kila kitu hadi marehemu wanawavua viwaloTurkey haitoshi kufanya hivyo, walipaswa kuwasaidia ndugu zetu wa Palestine
Edogan atulie kwanza, asikilizie kichaa Trump anataka kufanya nini, vinginevyo ataenda na la jioni."Enyi wagalatia msio na akili"; kimsingi Galatia iko Uturuki.
Turkey sio taifa la Kigaidi kama IsraelYeye Erdoğan juzi juzi tu kaua Wanawake na Watoto huko Kurdistan ambao ni Waisilamu.
Sana ni mfano wa kuigwa na mataifa yoteIMEKAA POWA SANA HII