UTV(Azam TV) mnunulieni suti mchambuzi wenu wa kimataifa aonekane "professional".

UTV(Azam TV) mnunulieni suti mchambuzi wenu wa kimataifa aonekane "professional".

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna mchambuzi mmoja wa kimataifa UTV/Azam huwa wanapenda sana kumuweka achambue siasa za kimataifa, huwa anavaa sana kisela, jeans za ajabu ajabu na tisheti, ukimuangalia hakai kama mchambuzi wa kimataifa kabisa. Ni vyema Azam TV ikiwa kama brand kubwa Africa ijitahidi hata kumnunulia angalau suti mbili mchambuzi wao wa kimataifa.
 
Nani kakuambia Azam brand kubwa Afrika
 
Anaitwa ibra Ra.... Ila jamaa anauchambuzi wa upande mmoja na hili ndio kosa kubwa sana media za Tanzania..... Hutasikia hata siku moja jamaa akisema Israel wanauwezo utaona mara nyingi anamsema Netanyahu anamgogoro ndani ya chama chake kuonyesha ndio dhaifu hata sasa anaongea kutia kimrengo wa kidini dini na hili ndio tatizo kubwa sana la waarabu na wafuasi wake.. Bado hajatokea mwarabu au muajemi wa kumtishia myahudi k
 
Kwahiyo kilichokuuma ni yeye kusema Israel inachakazwa ndo ukaamua umalizie hasira zako kwenye suti yake?
 
Kwahiyo kilichokuuma ni yeye kusema Israel inachakazwa ndo ukaamua umalizie hasira zako kwenye suti yake?
Nionyeshe mchambuzi mwingine wa kimataifa aliyewahi kuvaa kienyeji na shaghalabaghala hivyo kama huyo wa UTV nikuonyeshe mbuzi anayetaga.
 
Mchambuzi hatakiwi kupendeza kwa mavazi Rasmi inatakiwa aendelee kuvaa hivyo hivyo ili aendelee kuvuta attention yako.. Kama ulivyshangaa hadi kuleta uzi huku juu yake..
 
Ila anachambua vzr au kwa mihemko kwa hawa wa JF baadhi lakini
 
Back
Top Bottom