Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
ondoa kusiniBasi Africa Mashariki na kusini.
ondoa kusiniBasi Africa Mashariki na kusini.
Kuna mchambuzi mmoja wa kimataifa UTV/Azam huwa wanapenda sana kumuweka achambue siasa za kimataifa, huwa anavaa sana kisela, jeans za ajabu ajabu na tisheti, ukimuangalia hakai kama mchambuzi wa kimataifa kabisa. Ni vyema Azam TV ikiwa kama brand kubwa Africa ijitahidi hata kumnunulia angalau suti mbili mchambuzi wao wa kimataifa.
Haa Kesho Utamuona Mpya Amepigwa Suit Kutoka ManhattanHuyo Rabi
Watanzania tunapaswa kuwa serious kwenye mambo serious,ni upuuzi unakuta mtu yuko kwenye shughuli rasmi zisizo za mpira halafu kavaa lijezi la timu.Nafikiri ndiyo sababu "Yericko Mkapa" haalikwi tena hapo Azam Tv.
Kilikuwa kituko mtu anaenda kujadili diplomasia ya dunia kavaa "pensi" na kobazi studio.