Nani kakuambia Azam brand kubwa AfrikaKuna mchambuzi mmoja wa kimataifa UTV/Azam huwa wanapenda sana kumuweka achambue siasa za kimataifa, huwa anavaa sana kisela, jeans za ajabu ajabu na tisheti, ukimuangalia hakai kama mchambuzi wa kimataifa kabisa. Ni vyema Azam TV ikiwa kama brand kubwa Africa ijitahidi hata kumnunulia angalau suti mbili mchambuzi wao wa kimataifa.
Ibrahim Rabi Ama Ni Yule Aliyeko USJina lake limenitoka kidogo, ila nikipata picha yake nitaiweka.
Mmh ni wewe!!Asante kwa kunisema soon napata suti
We endelea tu.Basi Africa Mashariki na kusini.
Brand kubwa Afica ni nani?Nani kakuambia Azam brand kubwa Afrika
Nionyeshe mchambuzi mwingine wa kimataifa aliyewahi kuvaa kienyeji na shaghalabaghala hivyo kama huyo wa UTV nikuonyeshe mbuzi anayetaga.Kwahiyo kilichokuuma ni yeye kusema Israel inachakazwa ndo ukaamua umalizie hasira zako kwenye suti yake?
DstvBrand kubwa Afica ni nani?