Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Umeshawahi kutoka nje ya ndoa yako? Kwa nini?
 
Naamini umeshamtamani, sasa mwombe mungu ukwepe hizo tamaa, pia tambua kwamba hawa maduu wanapenda wenye ndoa kwani tayari wana watarajiwa wao ili kukwepa tatizo la kugandana kama nta. Please usijaribu kuisaliti ndoa yako kwani ukishaanza hata likipita popo utafall again. May god give u strength and power to overcome.
 
eeh kumbe nakutega ee ndo umekuja kuripot jf bas nitaacha na mimi nilikuwa sijui kama umeoa mi naraka single boy
 
Sijui kinacho kutatiza ni nini hapo. Next time anajileta na kukugusa kwa mapaja yake, au kujitegesha matiti ili yakuguse jifanye mkali na umwambie this is not appropriate and will not be tolerated going forward. Make a big deal out of it and behave in a way that she knows you mean it. Akisema anataka kuja lunch mwambie you need some space. then go to another lunch place.
Kama kweli utakua efficient utaona mabadiliko. Ataendelea kua mzuri na mwenye kuvutia ila at least atapunguza mitego, na ataacha kukufata fata.
 



mwana unaongea tu kwa sababu issue kama hii haijawahi kukukuta, chezea mtego wewe, mwanaume hana ujasiri wa kiasi hicho kukwepa huo mtego kirahisi, lazima ujipange vizuri. kumbuka mkeo ana uzuri wake, tofauti pia na uzuri wa mwanamke wmingine..kuna mwanamke ukimuona tu, mwenyewe unasema moyoni mama watoto hapa kafunikwa mbaya...

mwana kama vipi mkunje tu.
 
na mtu yeyote anaye mtizama mwanamke kwa kumtamani amezini , usimtamani mwanamke asiye mke wako kaka utaumia huyo ni pepo ukigusa tu utanata ohooo

Hajatamaniwa ila anahitaji huduma anashindwa kusema tu!!
Aaiseee bahati nyingine zinachezewa, hii inafaa initokeee mimi.....
 
Kumbuka Mshahara wako na Familia yako nyumbani Mkuu, Ukifanya mchezo utavikosa vyote. (uko ofisi gani?)
 
dah, ni kweli kabisa mkuu...sasa kaka kwa mfano ukijua kuwa mkeo naye anamfagilia mwanaume mwingine kwa mtindo kama huo wako wa tamaa tamaa ya mapenzi ungejisikiaje?usifanye mambo kwa mkeo hakuoni kumbuka anawakilishwa na Munguu wake ambaye anakuona hata siku kama uta do na huyo dada, na yeye Mungu ndio atamfikishia taarifa mkeo kwa namna yake bila wewe kujua ukaja kuumbuka bure...tunza ndoa yako na mfagiliage mkeo ukiwa naye huko na usithubutu tena tabia hii...sio vizuri kaka....tafakari na uchukue hatua!
 
Natega sikio hapa . . . . . . .
 
Hufahamu unachosema! Ibirisi na shetani ameshakuweka kwenye mawindo yake! Warumi 6:21 Hakuna faida utapata kwa mambo hayo zaidi ya aibu na fedheha hapo baadae!
 
bosi wako atakua anakula mzigo be careful,Ngoma+kutelekeza familia kwa kuhonga=umaskini
 

Mkuu hapo kwa red unanishangaza unavyokasifia, hivi unajua alikotoka ana wangapi? au hapo hapo ulipo unajua ni wangapi wana mtizamo kama wako? Naona kama unatatizo la kuji-control ndo maana unachachawa kiasi hicho
 

gfsonwin swtlo umpe kahawa tu sio vyengine. okay?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…