Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.
Umeshawahi kutoka nje ya ndoa yako? Kwa nini?
 
Naamini umeshamtamani, sasa mwombe mungu ukwepe hizo tamaa, pia tambua kwamba hawa maduu wanapenda wenye ndoa kwani tayari wana watarajiwa wao ili kukwepa tatizo la kugandana kama nta. Please usijaribu kuisaliti ndoa yako kwani ukishaanza hata likipita popo utafall again. May god give u strength and power to overcome.
 
eeh kumbe nakutega ee ndo umekuja kuripot jf bas nitaacha na mimi nilikuwa sijui kama umeoa mi naraka single boy
 
Sijui kinacho kutatiza ni nini hapo. Next time anajileta na kukugusa kwa mapaja yake, au kujitegesha matiti ili yakuguse jifanye mkali na umwambie this is not appropriate and will not be tolerated going forward. Make a big deal out of it and behave in a way that she knows you mean it. Akisema anataka kuja lunch mwambie you need some space. then go to another lunch place.
Kama kweli utakua efficient utaona mabadiliko. Ataendelea kua mzuri na mwenye kuvutia ila at least atapunguza mitego, na ataacha kukufata fata.
 
Na wewe unakubali kabisa kuanguka kwenye mtego wakati unaona kabisa mtego huo
Na Siku ukianguka utamlaumu shetani eti kuwa alikupitia kidogo
Naona hapo utakuwa unamsingizia shetani hana kosa mwenye kosa ni wewe na tamaa zako
Kwa nini usichukue muda kumsifia mkeo na kumuelezea haya uliyoyaeleza kwa huyu dada
Ina maana mkeo hujawahi kumpa sifa kama hizi maana ungekuwa umempa sifa zote hizi wala usingeona huyo dada ni mali
kitu mbele ya mkeo
Ila kwa kuwa tamaa zimekujaa na unataka umsaliti mkeo unachukua muda wako kutunga haya ya kumsifia mtu mwingine kabisa ambaye wala sio mkeo
Usianguke chukua muda mfikirie mkeo na muone kuwa yeye ni zaidi ya huyo dada na ana kila sababu ya kuwa mzuri zaidi ya huyo dada
Sikatai kuadmire kupo ila kataa hizo mbinu zinazotaka kuchukua nafasi ya mkeo



mwana unaongea tu kwa sababu issue kama hii haijawahi kukukuta, chezea mtego wewe, mwanaume hana ujasiri wa kiasi hicho kukwepa huo mtego kirahisi, lazima ujipange vizuri. kumbuka mkeo ana uzuri wake, tofauti pia na uzuri wa mwanamke wmingine..kuna mwanamke ukimuona tu, mwenyewe unasema moyoni mama watoto hapa kafunikwa mbaya...

mwana kama vipi mkunje tu.
 
na mtu yeyote anaye mtizama mwanamke kwa kumtamani amezini , usimtamani mwanamke asiye mke wako kaka utaumia huyo ni pepo ukigusa tu utanata ohooo

Hajatamaniwa ila anahitaji huduma anashindwa kusema tu!!
Aaiseee bahati nyingine zinachezewa, hii inafaa initokeee mimi.....
 
Kumbuka Mshahara wako na Familia yako nyumbani Mkuu, Ukifanya mchezo utavikosa vyote. (uko ofisi gani?)
 
dah, ni kweli kabisa mkuu...sasa kaka kwa mfano ukijua kuwa mkeo naye anamfagilia mwanaume mwingine kwa mtindo kama huo wako wa tamaa tamaa ya mapenzi ungejisikiaje?usifanye mambo kwa mkeo hakuoni kumbuka anawakilishwa na Munguu wake ambaye anakuona hata siku kama uta do na huyo dada, na yeye Mungu ndio atamfikishia taarifa mkeo kwa namna yake bila wewe kujua ukaja kuumbuka bure...tunza ndoa yako na mfagiliage mkeo ukiwa naye huko na usithubutu tena tabia hii...sio vizuri kaka....tafakari na uchukue hatua!
Na wewe unakubali kabisa kuanguka kwenye mtego wakati unaona kabisa mtego huo
Na Siku ukianguka utamlaumu shetani eti kuwa alikupitia kidogo
Naona hapo utakuwa unamsingizia shetani hana kosa mwenye kosa ni wewe na tamaa zako
Kwa nini usichukue muda kumsifia mkeo na kumuelezea haya uliyoyaeleza kwa huyu dada
Ina maana mkeo hujawahi kumpa sifa kama hizi maana ungekuwa umempa sifa zote hizi wala usingeona huyo dada ni mali kitu mbele ya mkeo
Ila kwa kuwa tamaa zimekujaa na unataka umsaliti mkeo unachukua muda wako kutunga haya ya kumsifia mtu mwingine kabisa ambaye wala sio mkeo
Usianguke chukua muda mfikirie mkeo na muone kuwa yeye ni zaidi ya huyo dada na ana kila sababu ya kuwa mzuri zaidi ya huyo dada
Sikatai kuadmire kupo ila kataa hizo mbinu zinazotaka kuchukua nafasi ya mkeo
 
Hufahamu unachosema! Ibirisi na shetani ameshakuweka kwenye mawindo yake! Warumi 6:21 Hakuna faida utapata kwa mambo hayo zaidi ya aibu na fedheha hapo baadae!
 
bosi wako atakua anakula mzigo be careful,Ngoma+kutelekeza familia kwa kuhonga=umaskini
 
Thanks a lot Kaunga... ugumu unakuja tuko naye kuanzia asubui mpaka jioni... boss kamkabizi kwangu... chochote atakachokuja kuniuliza siwezi ignore maana kakicomplain nitapata shida... mwanzo nilizarau lakini siku zinavyokwenda naona its getting out of hand.... unajua ukweli huwezi kuubadili, utabaki ni ukweli tu.. this girl it HOT!
Kuanzia uvaaji ... manukato... mpaka kuongea
.
Kukamega siwezi ila nateseka. Man!

Mkuu hapo kwa red unanishangaza unavyokasifia, hivi unajua alikotoka ana wangapi? au hapo hapo ulipo unajua ni wangapi wana mtizamo kama wako? Naona kama unatatizo la kuji-control ndo maana unachachawa kiasi hicho
 
stephot sijui leo wapenda nikupie kahawa ya jion sehem gani. umenikosha sana aisee.

yaani haya mambo bana hayanaga kanuni mara mwanamke katamaniwa mara mwanaume katamaniwa yaani yapo yapo tu. ila uhsauri wangu kwa huyu sarikoki ni ajaribu kumueka mkewe apendeze kama huyu mdada, pia amwone huyu binti si mali kitu asije akaanguka dhambini. tatu amshirikishe mkewe ili mama azame magotini kumueke muewe ulinzi. au la amsisitize mkewe kuamka usiku na kuombea familia yake. sasa nane usiku inalipa sana.

gfsonwin swtlo umpe kahawa tu sio vyengine. okay?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom