Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

Pole ndugu yangu nimeshindwa kujizuia kucheka. Inaonekana hiyo ofisi yenu kiboko manaake umezungukwa na akinamama watupu.
 
Inaonekana hapo umekwama kabisa na unahitaji neema tu ya Mungu ikuokoe!

Sikia, ijengee akili yako ushindi, usikubali kushawishika kwa njia yoyote. Muone kama Dada yako tu! Linda ndoa yako.

yaani kijana ni tamaa za uzinzi zinanyemelea.huyo ni pepo aanze kumkemea mapema .amtoe nduki huyu ni pepo mchaaaafu anamwita jehanam.
 
Kuna mdada mmoja mume wake ni best wa kaka yangu..huyo mume ni kijana lakini ni very successful ameshakuwa CEO sehemu kibao...

Nilikuja sikia tabia ya mkewe yani ilibidi nicheke...Mke wake akisikia ofisini kwa mumewe kuna mfanyakazi mgeni afu ana mvuto basi anatia timu afu anaanza kupiga bit. na kuongea kwa mipasho...

Kuna siku eti alisema "naona hapa mmeajiri mabinti warembo ndio maana hubby anachelewa kurudi nyumbani siku hizi" na kweli kulikuwa na binti matata kaajiriwa na alikuwa anaongea huku huyo binti anasikia...which to me niliona sio fair...yani anakuwa na marafiki kwenye kila ofisi anayofanya mumewe ili apewe feedback. Na kweli mumewe hana kashfa za kutembea na subordinates wake kama ana vimada basi ni mtaani.

Nilikuwa namuona huyo mdada kachizika ...sasa nimeanza kumuelewa.
 
Kha. Mtambuzi wewe unaamua kumpa ulinzi wako Yesu...Safi sana...lakini inabidi na wewe ufanye kazi ya kumuepuka ukitegemea kukemea tu utashangaa unakemea na guest unaenda. Fa mchezo na shetani la ngono wewe.

Kuna dada mmoja alikuwa hajatulia tukiwa high school (boarding) baadae akaamua kuokoka baada ya kupata boyfriend mlokole.

Cha kushangaza ilikuwa tukifanya party za wasichana (shule ilikuwa mixture) bwenini yeye anapanda kwenye kitanda anasoma biblia huku anatuchungulia kwa matamanio tunavyosakata rumba.

Kilichofuata unajua nini...hakuchukua hata miezi 5 ulokole ukamshinda na kibaya zaidi alitoka kwenye huo ulokole na biyfriend wake. Yani aliokoka kwa sabau ya kijana lakini baada ya muda wameacha ulokole wote na kuingia duniani. Starehe za dunia zina mvuto wa hajabu..Zinataka nguvu za ziada kuzishinda.

Unaweza kushangaa unachukua biblia kukemea na yeye anajiunga mkemee wote.

Mie mwanamke kama huyo, nitakachofanya, nabeba biblia ofisini na kabla ya kuanza kazi namkemea shetani......
Nahakikisha napaza sauti ya kukemea uzinzi kw ajina la Yesu... Lazima ataniepuka, chezea Yesu weye.....!
 
Mtambuzi nilikunukuu mahali ukisema we ni mpagani, kumbe sasa umeokoka, hongera aisee!
 
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

Mkuu acha kazi kabla hujaacha ndoa
 
Ahahahah wanasema "mtoto akijilegeza msogeze" fanya mambo yako hapo ila usiisahau familia yako.
 
wanaume banaaa

mnachekeshaaaaaaa

usikute binti wa watu hata wazo hana...

tamaa zako tu zinakusumbua....

binti ni mgeni, anakutegemea wewe kumwelekeza nini cha kufanya....

hata lunch kwa sasa wewe ndo mwenyeji wake, asipokufuata wewe amfuate madame boss?

wenzenu akija mgeni wiki ya mwanzo unamuonyesha toilet ilipo, sehemu za chai na za lunch, watu wa kuwatuma akitaka kuagiza chakula, wapi kuna msosi mzuri.... unamtambulisha kwa watu almost wote ofisini, then wadada unawaambia wampitie huyo binti for lunch..... ndani ya wiki tu anakuwa mwenyeji na hatokutegemea wewe tena....

Ila watoto waliozaliwa miaka ya 90s ni wazuri mno tena mno nahisi Evolution bado inatake place.
 
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

She has brought in specifically to spy you if you are stealing company's money. I guess you will do to win her.
 
Unapokuwa ofisini jitahidi sana kutokuendekeza tamaa maana utaharibu kazi yako unless huyo mrembo umeona anafaa kuwa mke wako lakini hata hivyo mwisho wa siku mmoja wenu atatakiwa kuacha kazi au kuhama department maana ofisi nyingi zina sera ya mke na mume haitakiwi kufanya department moja
 
Bado hujagonga tu? manake tulikushauri umgonge kisha uje utuanikie hapa jinsi mechi ilivyokuwa. Tunasubiri results ...
 
Thank Mr R. Unajua saa ingine huwezi kukwepa majaribu... mke wangu ni mzuri kuliko hata huyu mdada... ila she is acting strange... naamini ni upepo tu utapita... kana mwezi wa pili sasa ofisini... kuna vijana wenzake hapa lakini hajishughulishi nao. Ila kukamega siwezi kabisa bora nitafute kazi sehemu ingine.

Amejua wewe umeoa,hivyo hutambana sana na hii itamfanya apate muda wa kuwa na hao vijana.Si unajua wenye wake ndiyo wanacare vizuri?Loh
 
Back
Top Bottom