Uume hausimami asubuhi

Uume hausimami asubuhi

kama hauumwi ngiri basi nenda hosptal kacheki
 
Mleta mada pole mwaya, lakini Usijali sanaaa as long as inafanya kazi bila kui busti haina neno...
 
kama hauumwi ngiri basi nenda hosptal kacheki...
 
Jamani uume wangu imekuwa ni kawaida hausimami kila asubuhi, na kwa upeo wangu mdogo, mwanaume anatakiwa asimamishe kila asubuhi..

Msaada tafadhali!

Asubuhi masaa yapi, na usimame kwa muda gani?! Au unamaanisha alfajiri?! Isijekuwa hizi ni story tu za kijiweni? Kitaalamu uhusiano wa kusimama na muda huo ni upi?!
 
kama hauumwi ngiri basi nenda hosptal kacheki...
Jamaa anataka kujua kama kuna mtu aliwahi kuwa na shida hiyo na alifikia vipi suluhisho!! Wanaume wote kesho tumpatie jibu kama tuliinuia mkono kama polisi wa usalama barabarani mida ya asubuhi. Na wanawake ukiwemo MankaM msisahau kuwachunguza na waume zenu wa ndoa au ambaye sio wa ndoa!! Kama hapana basi tumpe feedback, halafu tuelekee hospitali!!!
 
Uliwahi kupiga Punyeto?
Kunywa maji mengi kabla ya kulala.
Wakati wa chakula cha usku(nasemea dinner) na kuendelea.
Utaamka imesmama
 
Uliwahi kupiga Punyeto?
Kunywa maji mengi kabla ya kulala.
Wakati wa chakula cha usku(nasemea dinner) na kuendelea.
Utaamka imesmama

kuhusiana na punyeto.....niliwahi kupaga punyeto nikiwa na miaka 17 na sasa nina miaka 25, kwahiyo ni miaka mingi imepita nikiwa shule na nilipiga kwa miezi kama mitatu tu nikaacha kabisa hadi leo
 
Kwhiyo huko unakoishi wewe hakuna matikiti maji kama huku kwetu kwenye vituo vya mabasi!dah,tena nimegundua hata wanawake nao wamo tunapigana vikumbo kuyagombea kipande 200/=,huu mji raha sana kila mtu mpambanaji hakuna kubaki nyuma mpaka kieleweke :eyebrows::eyebrows::eyebrows:.
 
fanya mazoezi sana hasa mbio asubuhi na jioni pia wahi luamka kabla ya saa 6
 
Jamani uume wangu imekuwa ni kawaida hausimami kila asubuhi, na kwa upeo wangu mdogo, mwanaume anatakiwa asimamishe kila asubuhi..

Msaada tafadhali!

Duh! Wewe kama mimi, nilijua nikawaida kumbe ni tatizo. Wewe ulijuaje kuwa hilo ni tatizo? Asante kwa kunifumbua macho, ngoja na mimi nianze kusaka dawa. Ukiipata tafadhali unijulishe na mimi mgonjwa mwenzako. Nami nikifanikiwa nitakujulisha. Ama kweli duniani magonjwa ni mengi!
 
na ww jaribu kufatilia ili ujue kama hili ni tatizo au la,...then tupeane taarifa, naomba wanaume humu kila mmoja ajichunguze alfajiri je inasimama kila alfajiri,kuna haja ya kujua hili
 
Back
Top Bottom