Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 12,325
- 38,203
na ww jaribu kufatilia ili ujue kama hili ni tatizo au la,...then tupeane taarifa, naomba wanaume humu kila mmoja ajichunguze alfajiri je inasimama kila alfajiri,kuna haja ya kujua hili
Huwa unaicheki saa ngapi? Jaribu kuweka alarm kwenye saa kumi na moja mpaka saa kumi na moja na nusu alfajiri uangalie, then utupe mrejesho.