na ww jaribu kufatilia ili ujue kama hili ni tatizo au la,...then tupeane taarifa, naomba wanaume humu kila mmoja ajichunguze alfajiri je inasimama kila alfajiri,kuna haja ya kujua hili
Si lazima uume usimame asubuhi. Uume husimama katika hali ambapo uume hujaa damu inayoufanya uongezeke ukubwa na urefu,mfano mtu wa kiume akiwa karibu na mtu wa kike kihisia au ana kwa ana.