Uume kusimama legelege

Uume kusimama legelege

Mimi sio mchoyo wa tiba.. Nina dawa asili zinazotibu kwa mafanikio makubwa
Kitambi cha pombe na michemsho ya bar pamoja na nyama choma za ofa
Bawasir ya ndani na nje
UTI sugu
Kifua na kikohozi kikavu
Matatizo ya uume hasa kulegea kama mlenda wa bamia la Tanga uliopikwa bila karangaView attachment 2773630
Wewe ya kitambi itakufaa halafu nina nyingine ya kutengeneza shepu na kupunguza mtindi unaoanguka usimamie ukucha[emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we jamaa ni mganga kweli?
Sijawahi ona mganga Mkristo.
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika.

Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital

Kwanini unaangalia porn kama unajua una hili tatizo. Tatizo ni porn hapo kwa kijana wa miaka 32

Kwa wale ambao ni tatizo la mishipa ya damu tumia hii itasaidia kufungua mishipa na utakuwa powa

1696602784195.png
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Twiga wana shingo ndefu kwa sababu hapo zamani za kale iliwalazimu kurefusha shingo kula majani ya matawi ya juu...

Hivyo tatizo ni kupewa kiungo na kutokitumia, ona sasa kimekuwa kilemavu...
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika.

Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Polee mzee....
Usipanic wala Usijuione kama ushakosa ubingwa.
Fanya yafuatayo....
  • Fanya mazoezi mara kwa mara, kama una mchezo na mwenza wako fanya push-ups and sit-ups 30 mins before mchezo, hii itasaidia kuongeza blood circulation. Mzigo wako unakuwa legelege kwasababu misuli yake haijai damu vizur. Google kegel exercises zinasaidia sana.
  • Kula vizur na kunywa maji mengi ya kutosha kabla ya mchezo, kula vyakula vya maana sio chips mzee utazingua. Hakikisha una kunywa maji mengi pia usisahau.
  • Alaf punguza stress broo, stress nazo zinaweza kuchangia mtu kuwa na weak penile erections. Chingine punguza midadi/hisia, kuna mtu akipata demu wa kumtunuku anapagawa yaan haamini, hii hali nayo mbaya inafanya mzigo ulegee baada ya bao moja tuu. Hakikisha akili yako imetulia huna stress wala midadi ya ajabu
Una matatizo yeyote ya kiafya kama kisukari au shida ya moyo?
 
Back
Top Bottom