Uume kusimama legelege

Uume kusimama legelege

🤣 ndio unaye hadi leo au ulipataje mngine , unaonekana una mengi ya kutuambia
Hapana siponae alikua mjanja mjanja nikamkwepa, ila baada ya kumpata yeye nikawa naujasiri wa kuwinda nilienda kujitafutia mwenyewe nikapata mwingine lakin wote wana mambo mengi nimeamua nibak single mi sina moyo wa uvumilivu kusamehe zaidi ya mara mbili siwezi nikisamehe sana ni mara 1.
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika,sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Mkuu
Pole kwa majibu mengine yasiyofaa unayopewa hapa.

Je bibi mzaa mama au baba yupo? Au mtafute shangazi upende wa baba mueleze hiyo issue hasa yule aliyepo kijijini nyumbani.

Tatizo dogo hilo lisikukondeshe
 
Practice makes perfect!Muangalie kwenye kioo ninayemwambia.
 
Mkuu
Pole kwa majibu mengine yasiyofaa unayopewa hapa.

Je bibi mzaa mama au baba yupo? Au mtafute shangazi upende wa baba mueleze hiyo issue hasa yule aliyepo kijijini nyumbani.

Tatizo dogo hilo lisikukondeshe
Wale mashangazi ambao hawawezi kuweka salio kwenye simu ila mimba ya wiki tatu wanaijua ni "problem solvers "😁😁

Watu tunadharau sana ila ulichosema ni kweli, wazee wa zamani wana mbinu nyingi sana na ubaya wanazikwa nazo
 
Sometimes JF raha sana yaani mtu anakuja na serious problem wana wanaanza maskhara na kumchamba[emoji3][emoji1544][emoji1550]

Sent using Jamii Forums mobile app

😁😁😁😁 ilibidi nipite kimya kimya japo kuna mambo kiuhalisia hayawezekani ila kama mtoa thread anamaanisha alichokisema. Yawezekana yeye ni exceptional case
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika,sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Si tulikubaliana nyeto haisababishi uume kuwa legelege
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika,sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Kasome kitu kinaitwa "Use and Dis-use theory" utapata jibu
 
Back
Top Bottom