Uume kusimama legelege

Uume kusimama legelege

Nyeto sio tatizo hapa...
Inaonekana jamaa anayo hiyo shida muda mrefu lakini ameona aseme tu sababu umri unasonga
Ingekuwa ni nyeto..ingesimama hata mara moja akapiga kimoja then ikalala...yaan asingeweza kurudia...
Sasa huyu mkulungwa jogoo hawiki kwa kifupi...
Alafu ingekuwa nyeto...ingekuwa unatamani aina flani ya wanawake unaowaona mara kwa mara na ukiwapata unapiga ata 6 au unaikeshea
NENDA HOSPITAL
 
Wale mashangazi ambao hawawezi kuweka salio kwenye simu ila mimba ya wiki tatu wanaijua "problem solvers "😁😁

Watu tunadharau sana ila ulichosema ni kweli, wazee wa zamani wana mbinu nyingi sana na ubaya wanazikwa nazo
Tumedharau sana asili zetu.
Mungu atusamehe
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika.

Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Pole aiseee fanya mazoez jogging na kula vyakula asilia,kabla hujalala tafuna punje za vitunguu saumu 4 (ponda ponda kama huwez tafuna) meza na asali original vijiki viwili kila siku lazima upate nguvu
 
Kama kumtazama mwanamke Kwa kumtamani ni sawa na kuzini vipi kumtazama porn mpaka mwisho?..Mkuu sex ni mindset tu....tuanzie hapo
 
[emoji396][emoji23]
Mimi sio mchoyo wa tiba.. Nina dawa asili zinazotibu kwa mafanikio makubwa
Kitambi cha pombe na michemsho ya bar pamoja na nyama choma za ofa
Bawasir ya ndani na nje
UTI sugu
Kifua na kikohozi kikavu
Matatizo ya uume hasa kulegea kama mlenda wa bamia la Tanga uliopikwa bila karanga
20231006_163812.jpg

Wewe ya kitambi itakufaa halafu nina nyingine ya kutengeneza shepu na kupunguza mtindi unaoanguka usimamie ukucha[emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mchoyo wa tiba.. Nina dawa asili zinazotibu kwa mafanikio makubwa
Kitambi cha pombe na michemsho ya bar pamoja na nyama choma za ofa
Bawasir ya ndani na nje
UTI sugu
Kifua na kikohozi kikavu
Matatizo ya uume hasa kulegea kama mlenda wa bamia la Tanga uliopikwa bila karangaView attachment 2773630
Wewe ya kitambi itakufaa halafu nina nyingine ya kutengeneza shepu na kupunguza mtindi unaoanguka usimamie ukucha[emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa Mshana 🤣🤣🤣🤣
Sina mtindi wa kupunguza
Em hiyo ya kitambi
 
Mimi sio mchoyo wa tiba.. Nina dawa asili zinazotibu kwa mafanikio makubwa
Kitambi cha pombe na michemsho ya bar pamoja na nyama choma za ofa
Bawasir ya ndani na nje
UTI sugu
Kifua na kikohozi kikavu
Matatizo ya uume hasa kulegea kama mlenda wa bamia la Tanga uliopikwa bila karangaView attachment 2773630
Wewe ya kitambi itakufaa halafu nina nyingine ya kutengeneza shepu na kupunguza mtindi unaoanguka usimamie ukucha[emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mawasiliano please maana pm kumefungwa
 
Nataka huo wa ukucha😂
 
Back
Top Bottom