Uume kusimama legelege

Uume kusimama legelege

Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika.

Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Huto pona pole sana ndugu...yangu
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika.

Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
bado hujasema🤣🤣🤣😅
 
Amini mkuu nilikuwa nazipakua nacheki tu mpka mshindo
Wacha urongo we MPUMBAVU!...

Punyeto ndo imekufanya uwe hivyo. Ila hujachelewa, muweke mwanamke wako wazi huenda akashirikiana nawe kutafuta tiba maana wao wenyewe wanaelewa ila baadhi huwaona wanaume wanaokata punyeri ni mazwazwa!
 
Njoo PM na Tsh 1m fasta nikupatie Kaluyembe upone. Usipokuwa makini italala mazima
We ni TAPELI! 1M si pesa ya Visa na ticket ya kwenda Korea hiyo?!

Hata akienda kuonana na mtaalam Aga-khan, Saifee, Hi-tech, Sanitaz au Regency hospital hawezi kuchajiwa pesa ndefu namna hiyo. Jiheshimu kijana!

Bora awasiliane na Mshana Jr naona wewe unataka kumzidishia majanga huyo kijana
 
Tatizo la misuli legelege ya Uume huchangiwa kwa sehemu kubwa na tatizo la Kujichua (Punyeto) iwapo litafanyika kwa muda mrefu.

Maana kama unasema sahihi, umeacha punyeto miaka 3 iliyopita ina maana uliacha Punyeto ukiwa na miaka 32-3=29.

Tangu kijana wa Kiume abarehe miaka 15 ina maana umepiga Punyeto miaka 29-15=14.

Miaka 14 ya kupiga punyeto inatosha kukufanya Uume wako uwe legelege.

Tembelea kituo cha afya kilicho karibu nawe kwa msaada zaidi.

NB: Hakuna Mwanaume ambaye hajawahi kupiga Punyeto (akiwemo huyu aliyeandika comment hii) labda awe aliwahi kuanza mahusiano mapema ama mwenye matatizo ya kushindwa kusimamisha.
Umemjibu kitaalam na kwa busara kubwa mzee mwenzangu...

Ubarikiwe!
 
Hahaaa
Dah!! Umekiminya minya na mikono yako migumu. Sasa kimepotea unaanza kukitafuta. And yet unakazania hukuwa unakiminya minya.. 😂😂😂
Yaaah ilibid story yake amalizie na nlipiga nyeto sana….ili tusolve la nyeto alafu tusolve la kidudu kuwa kidogo then tumalize na kusimama vizuri, ye anataka tusolve moja tu anafeli….
 
Polee mzee....
Usipanic wala Usijuione kama ushakosa ubingwa.
Fanya yafuatayo....
  • Fanya mazoezi mara kwa mara, kama una mchezo na mwenza wako fanya push-ups and sit-ups 30 mins before mchezo, hii itasaidia kuongeza blood circulation. Mzigo wako unakuwa legelege kwasababu misuli yake haijai damu vizur. Google kegel exercises zinasaidia sana.
  • Kula vizur na kunywa maji mengi ya kutosha kabla ya mchezo, kula vyakula vya maana sio chips mzee utazingua. Hakikisha una kunywa maji mengi pia usisahau.
  • Alaf punguza stress broo, stress nazo zinaweza kuchangia mtu kuwa na weak penile erections. Chingine punguza midadi/hisia, kuna mtu akipata demu wa kumtunuku anapagawa yaan haamini, hii hali nayo mbaya inafanya mzigo ulegee baada ya bao moja tuu. Hakikisha akili yako imetulia huna stress wala midadi ya ajabu
Una matatizo yeyote ya kiafya kama kisukari au shida ya moyo?
Hapana Sina hayo matatizo,tatizo niliokuwa nalo tumbo kujaa gési tu miaka mingi
 
Wadau wengi mliochangia mmedhani sisimamishi kabisa,nasimamisha ila nikifika dk 2 askari anakuwa legelege hana nguvu na kurudi anachelewa
 
Hata ungefanya hayo unayosema hujafanya bado isingesababisha iwe legelege.

saga tangawizi, na vitungu saum kijiko kimoja kimoja changanya na asali vijiko viwili piga hiyo asubuhi na jion alaf tumia chai isiyo na yale majani ya chai ya kiwandani, tengeneza chai ya viungo tu tangawizi na vile viungo vingine ndo iwe chai yako.

Alaf tafuta mbegu za maboga zile zilizokaangwa zinauzwa kwenye supermarket tumia pia unaweza kula peke yake au nunua na korosho ule kama haitasimama hadi uone kero basi mkuu kweli una tatizo kubwa.
Aloo mwamby asage pili pili na tangawizi kwa pamoja aweke. Maji kidogo apake kwenye penis muda wa kulala majibu ni ndani ya 2 seconds.
 
Niliwahi kukaa mwaka bila sex siku niliyokuja kupata sex mashine haikuweza kabisa mpaka nikaogopa itakuwaje
Lakini nilivyotoka pale mazoezi, mbegu vitunguu swaumu, tangawizi nilifanya matumizi makubwa ya hivyo vitu kama wiki hivi nikaita manzi nikapiga kama nauwa

Lakini hadi leo nimenote nikikaa mda mrefu kama mwezi hivi bila sex kuna namna performance inashuka mwili unakuwa mzito yale ni mazoezi pia mazuri tu na nadhani hiyo ni kawaida tu
 
Back
Top Bottom