Uume kutosimama

MLALE

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
217
Reaction score
420
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Pengine alipania mno au pengine alikua na stress za kitu flani pia hofu nayo inachangia na hali kama hiyo huwa inatokeaga japo inashtua lakini siku nyingine akikutana na huyo msichana mambo yataenda vizuri tuu.
 
Kwanza mpkaa hapo huwez kupona kwa sababu ugonjwa ni wako na umemuwakilishaa mtu mwingine this means hujiamini kuanziaa nje mpka ndani ,kwani ukisema ww ndonuna hilo tatizo nani anayekujuaa au unajisigiaga kuwa ww mwanaume mashine huko pm ndo maana unaogopa kulisemea tatizo??coz from wht iknw ni kuwa mwanaume hawez kuzungumza uumenkutokusimama na mwanaume mwenzake period.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Angalia sana. Kuna wanawake huwa hawagongwi hasa wale wake za watu. Utajikuta umepoteza uhai au umekuwa kilema maisha yako yote.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Kwani ukisema ni wewe utapungukiwa na nini mkuu?

Mimi binafsi ilishawahi nitokea ni jambo la kawaida tu .

Refer uzi wangu hapo chini[emoji116] [emoji116]
Siku niliyoshindwa kusimamisha na kupiga Game
 
Sio kosa lako mkuu
 
Kama unakunywa pombe kabla ya game acha kabisa, na vile vile inatokea sana ukiwa umepania, wasi wasi au stress...wengi sana tumekutana na hii hali
 
Yaani duche limeona papuchi mpya limegoma? Daah pole sana tafuta tiba haraka
 
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Wakati anapiga mechi alikuwa anakuonyesha clip nini? ama ni wewe mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…