Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine alipania mno au pengine alikua na stress za kitu flani pia hofu nayo inachangia na hali kama hiyo huwa inatokeaga japo inashtua lakini siku nyingine akikutana na huyo msichana mambo yataenda vizuri tuu.Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Angalia sana. Kuna wanawake huwa hawagongwi hasa wale wake za watu. Utajikuta umepoteza uhai au umekuwa kilema maisha yako yote.Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Kwani ukisema ni wewe utapungukiwa na nini mkuu?Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Sio kosa lako mkuuKwanza mpkaa hapo huwez kupona kwa sababu ugonjwa ni wako na umemuwakilishaa mtu mwingine this means hujiamini kuanziaa nje mpka ndani ,kwani ukisema ww ndonuna hilo tatizo nani anayekujuaa au unajisigiaga kuwa ww mwanaume mashine huko pm ndo maana unaogopa kulisemea tatizo??coz from wht iknw ni kuwa mwanaume hawez kuzungumza uumenkutokusimama na mwanaume mwenzake period.
Asante kwa hii post,maana nlikuwa naitafuta ili nimuoneshe aisome.Kwani ukisema ni wewe utapungukiwa na nini mkuu?
Mimi binafsi ilishawahi nitokea ni jambo la kawaida tu .
Refer uzi wangu hapo chini[emoji116] [emoji116]
Siku niliyoshindwa kusimamisha na kupiga Game
Sawa mkuuAsante kwa hii post,maana nlikuwa naitafuta ili nimuoneshe aisome.
Kipururu ndo ni kinini mkuuHakuwa na kipururu huyo
Wakati anapiga mechi alikuwa anakuonyesha clip nini? ama ni wewe mwenyewe?Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.