Uume kutosimama

Uume kutosimama

Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
usimsingizie mfanyakazi mkuu...we funguka tu
 
mkuu hiyo ni hali ya kawaida hata sio ugonja,nahisi wanaume wote ishawahi kututokea hiyo hali kila mtu kwa nyakati zake,ulimpania sana huyo mwanamke and lazima ana level za juu kwako kiasi haukuamini alivyokusanulia papuchi,wanawake sio watu wa kuwaogopa kutokana na mwonekano wao,hawana jipya lolote,wanaweza kumpa mwanaume yeyote kwa wakati wowote wanaojisikia wao,na si wewe kuwapata muda wowote unaojisikia wewe!
 
Kwanza mpkaa hapo huwez kupona kwa sababu ugonjwa ni wako na umemuwakilishaa mtu mwingine this means hujiamini kuanziaa nje mpka ndani ,kwani ukisema ww ndonuna hilo tatizo nani anayekujuaa au unajisigiaga kuwa ww mwanaume mashine huko pm ndo maana unaogopa kulisemea tatizo??coz from wht iknw ni kuwa mwanaume hawez kuzungumza uumenkutokusimama na mwanaume mwenzake period.
khaaaaaaaaa umemchambaaaaa
 
Dushe zima halina huo upuuz
 
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.

TATIZO LA UUME KUSINYAA

Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri. Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.

Kwa kawaida hali hii hutokea katika umri mkubwa kwa mwanaume na mwanamke yaani kuanzia umri wa miaka hamsini lakini ikitokea katika umri chini ya miaka hamsini basi ni tatizo. Wapo vijana wenye matatizo haya ambayo vyanzo vyake tutakuja kuviona katika safu hii.

CHANZO CHA TATIZO
Hali ya kusinyaa kwa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume hutokana na kuwepo kwa msukumo hafifu wa damu sehemu hiyo, maambukizi sehemu za siri ambayo huwa ya muda mrefu hasa kaswende, hitilafu katika misuli ya uke na sehemu za siri za mwanaume inayoathiriwa na kaswende virusi vya HIV, ugonjwa wa kifua kikuu na hata baadhi ya magonjwa sugu ya ngozi. Matatizo mengine yanayochangia hali hii ni ugonjwa wa kisukari.

Matatizo katika mishipa ya damu vilevile huweza kusababishwa na magonjwa ya moyo au mishipa ya damu inayosambaa sehemu hizo. Misuli inaposinyaa kwa mwanamke nayo huweza kusababishwa na magonjwa kama tulivyoona, uke unasinyaa pia huweza kusababishwa na uzazi wa mara kwa mara na karibu kufanya ngono mara kwa mara na wanaume tofauti na hitilafu katika mfumo wa homoni.

Mwanamke anapata tatizo hili la kusinyaa uke endapo pia homoni au kichocheo cha Estrogen' kitakuwa kimepungua mwilini na kufanya mafuta yapungue ukeni. Kwa upande wa mwanaume homoni inayopungua kwa mwanaume ni Testosterone.

DALILI ZA TATIZO
Mwanaume mwenye tatizo hili hasa kijana, ingawa kwa wazee ni hali ya kawaida, kijana huanza kuona mfuko wa pumbu hulegea na kushuka sana, usinyaa na kujikunja kunja, kokwa huinekana ndogo na mishipa mikubwa ya damu huanza kujitokeza na mishipa mbegu toka katika kende huonekana wazi. Uume huwa kama wa mtoto mdogo na mishipa ya damu huchomoza wazi. Nguvu za kiume hupungua sana na endapo ukiweza tendo la ndoa la kwanza unawahi kumaliza na kushindwa kabisa kupata tendo la pili.

Mara kwa mara maandalizi kabla ya tendo la ndoa kwa mwanaume mwenye tatizo hili ni kuchezea sana uume kwa kuurusharusha au kuupiga piga kidogo kidogo ili kuamsha au kuhamasisha msukumo wa damu. Baada ya hapo uume huanza kusimama taratibu na endapo utasimama basi inabidi uwahi tendo na kama utachelewa, basi uume utalala na kushindwa tena kufanya tendo kwa siku hiyo.

Mwanamke yeye daima huwa mkavu na wakati wa tendo hapati hisia zozote hadi tendo linapokwisha na kama mwanaume hana tatizo lolote na mwenye nguvu za kutosha basi mwanamke atapata michubuko na maumivu na kuhisi karaha ya tendo na hawezi kufika kileleni.

UCHUNGUZI
Tatizo hili kama tulivyoona husababishwa na magonjwa mbalimbali, pia yapo matatizo na magonjwa mengine yanyochangia hali hii, magonjwa kama kisukari, endapo ugonjwa utakuwa wa muda mrefu unaweza kuathiri hali hii.

Tabia ya kujichua kwa mwanaume na mwanamke pia huweza kuathiri au kusababisha tatizo hili kama mtu atakuwa amejichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani msukumo wa damu sehemu za viungo vya uzazi utakuwa umeathiriwa.

Viungo vya uzazi vinaweza kupooza kutokana na hitilafu katika mishipa ya fahamu. Mishipa ya fahamu inapoathirika viungo hupooza (paralysis of genitalia) na mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na ukeni hakuna kabisa mawasiliano yanayoleta msisimko.

Vipimo vya damu na mkojo na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa vitafanyika.

MATIBABU NA USHAURI
Tiba hutolewa kadiri daktari atakavyoona inafaa. Matibabu hutolewa katika kliniki za matatizo au magonjwa ya kinamama ambapo na kina baba hutibiwa matatizo haya.

Baada ya uchunguzi tiba itatolea kuona kama hitilafu ni maambukizo au katika mfumo wa homoni. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba zaidi.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Attachments

  • Punyeto.jpg
    Punyeto.jpg
    12.7 KB · Views: 55
Wakati anapiga mechi alikuwa anakuonyesha clip nini? ama ni wewe mwenyewe?
Hahaaa...teh..teh!aliniambia mkuu,ila ningejua bora ningedanganya humu ndani kwa kusema ni mm mwenye hilo tatizo.
 
Kwanza mpkaa hapo huwez kupona kwa sababu ugonjwa ni wako na umemuwakilishaa mtu mwingine this means hujiamini kuanziaa nje mpka ndani ,kwani ukisema ww ndonuna hilo tatizo nani anayekujuaa au unajisigiaga kuwa ww mwanaume mashine huko pm ndo maana unaogopa kulisemea tatizo??coz from wht iknw ni kuwa mwanaume hawez kuzungumza uumenkutokusimama na mwanaume mwenzake period.
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Samahani mkuu, naomba kujua hali hiyo imemtokea mara ngapi?? Na imeanza akiwa na umri gani? Pia naomba kujua kama amepima BP pamoja na Blood Gluocose then naomba majibu kama amepima.
 
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Alitaka usimame ili avulie samaki?
 
Samahani mkuu, naomba kujua hali hiyo imemtokea mara ngapi?? Na imeanza akiwa na umri gani? Pia naomba kujua kama amepima BP pamoja na Blood Gluocose then naomba majibu kama amepima.
Habari mkuu, nimekuPM bila mafanikio mkuu
 
Samahani mkuu, naomba kujua hali hiyo imemtokea mara ngapi?? Na imeanza akiwa na umri gani? Pia naomba kujua kama amepima BP pamoja na Blood Gluocose then naomba majibu kama amepima.
Nakuomba PM mkuu
 
Samahani mkuu, naomba kujua hali hiyo imemtokea mara ngapi?? Na imeanza akiwa na umri gani? Pia naomba kujua kama amepima BP pamoja na Blood Gluocose then naomba majibu kama amepima.

MKUU NAMI NAKUOMBA PM
 
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
...SI Useme TU kwamba ni Wewe Mwenyewe, Usaidiwe ?
Ya Mwanaume Mwenzako Unayajuaje hivyo ??? [emoji57][emoji57][emoji57]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom