GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
yani we jamaa skupendi
ila hii thread yako nimeshindwa jizuia kucheka aise
nimecheka sana japo sikupendi
Ngoja CCM wakitoka madarakani ndio utapona.Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni mtoe michango yenu kulingana na uzoefu au utaalam wenu kwani kwa bahati mbaya nimejibana kama siyo kujikwangua na zipu ya suruali yangu iliyokuwa na hitilafu.
Akhsanteni!
hujakosea mkuu!!Huyu jamaa si yule mshabiki wa sisiem anatetea hadi uovu