Uume ukiwa na jeraha au kidonda kidogo, je unaweza kuweka plasta kama maeneo mengine?

Uume ukiwa na jeraha au kidonda kidogo, je unaweza kuweka plasta kama maeneo mengine?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni mtoe michango yenu kulingana na uzoefu au utaalam wenu kwani kwa bahati mbaya nimejibana kama siyo kujikwangua na zipu ya suruali yangu iliyokuwa na hitilafu.

Akhsanteni!
 
yani we jamaa skupendi
ila hii thread yako nimeshindwa jizuia kucheka aise
 
kama mnara wako uko erect mda wote nadhani unaweza ila dah unawazaga.nini..sina mbavu
 
Mkuu hiyo zipu imekukumbusha kuweka boxer. Ila hiyo ni sehemu nyeti sana, funga tu itapona haraka kuliko ujuavyo. Chonde chonde, usije itumbukiza mahali flan kabla haijapona, ni njia rahisi kuathirika
 
ukitaka ipond haraka, piga nyeto alafu upake sperm zako kwenye jeraha utapona baada ya dk 5
 
Hapana hapana...apo tumia solitepu...au piga zile pini alizosema jk alipigwa!
 
Yani Ibilis atautembelea huu uzi mpaka aondoke na mtu.
 
hilo tatizo lako linatibiwa john hopkins hospital, iko merryland marekani, huko wanatumia pin za stapler
 
Huyu jamaa si yule mshabiki wa sisiem anatetea hadi uovu
 
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibuni mtoe michango yenu kulingana na uzoefu au utaalam wenu kwani kwa bahati mbaya nimejibana kama siyo kujikwangua na zipu ya suruali yangu iliyokuwa na hitilafu.

Akhsanteni!
Ngoja CCM wakitoka madarakani ndio utapona.
 
dah!!! huyu nae ana degree na anaitwa msomi?????
 
Mkuu hiyo ndude imetepeta kiasi cha kubanwa na zipu au ulibana 'vigo'!!??
 
Back
Top Bottom